Tusiibeze timu yetu ina vijana wapiganaji haswa hebu fikiria spidi ya Mrwanda,Ngasa na Samatta! Beki Costa,Nyoso na Nsajigwa! Hakuna sababu ya kukosa ushindi,binafsi nawaombea wawe na ari kubwa tu...
Patric Macau wa Kenya katika mbio za Berlin
Ukiandika katika wavuti wa tafuta wa Google "East African running" yaani "Wakimbiaji wa Afrika Mashariki" utapata taarifa nyingi zinazouliza kitu gani...
Kwamchezo ulivyokua leo wa Arsenal kutoa sare na norwich cityni dhahiri kabisa clabu ya washika bunduki wa london wameiweka lehan nafac ya tatu kwa newcastle na totenham kuichukua nafasi...
Alex amaliza ukmya kwa watu leo wanaosema kuwa man utd ana uwezo wa kumfunga man ctiy,na hapo ndio ata tangaza kuchuwa ubingwa,wale wote wamashabiki wa ukweli wa man utd.matokeo ni kama hivi...
Kwa taarifa nilizopata
baada ya kamati ya tibaigana kutengua maamuzi ya azam kupewa point za mezani na kutoa agizo la mechi kurudiwa,
kesho ndio game inapigwa u/taifa.
salama wanajamvi,
katika mechi iliyommalizika hizi punde, nimevutiwa sana na uwezo wa huyu jamaa, he is real striker,
hawa jamaa wa CHELSEA ni wamefungwa goli mbili na huyu jamaa ambazo...
Kwa matokeo ya leo ambapo Real Madrid imekwishafikisha points 94 wakati Barca ina points 87 na imebakia michezo miwili ambapo hata real ikipoteza yote, bado inabaki kuwa bingwa wa msimu huu. Ndoto...
WANAJF;
Pamoja na kwamba sote masikio yetu yako Ikulu kwa ajili ya Baraza la Mawaziri, ambalo kwa hakika halitakuwa na jipya kwasababu ya uzoefu etu na JK. Mimi naomba mwenye updates za mechi ya...
Mkuu crashwise najua leo issue ya baraza la Mheshimiwa iko hot tafadhali usisahau kwenye michezo nakutegemea kwa updates mkuu leo Mnyama anaweza akatangaza ubingwa.
Dah hawa jamaa wamepaniana sana mwisho wake Tiote anatolewa uwanjani kwa mtindo wa Muamba hii ni hatari sana kisa cha Mikael kumchezea mwenie namna ile ni nini ss!pole Tiote
Bayern Munich are preparing to face Chelsea in the final of the Champions League in the painful knowledge that victory would offer an enormous financial boost to two of their biggest rivals...
Real Madrid has secured its 32nd Primera Division title by beating Athletic Bilbao 3-0 on Wednesday evening. Goals from Gonzalo Higuain, Mesut Ozil and Cristiano Ronaldo helped head coach Jose...
Arsenal:
- Fulham striker/attacking midfilder Clint Dempsey likely to land at Emirates.
- may lose Robin Van Persie to ManCity (promising a £250,000-a-week salary)
- hopes to sign Ajax centre...
The Catalan outfit's 4-1 victory over Malaga meant that Pep Guardiola's side had found the net on 108 occasions, surpassing the previous standard from the 2008-09 campaign
mpambano uliomalizika dakika tano kabla ya dk 90 kumalizika umeamliwa kurudiwa. mamuzi hayo yamefikiwa na kamati ya usuruhishi inayoongozwa na Alfred Tibaigana..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.