wakuu mechi ndo hiyo soon itaanza. mlio uwanjani kumbukeni kuchangia furaha yenu hapa ili tulioko mashambani tufaidike.
UPDATES:
Dakika ya 30: Simba 0 - 0 Ahli Shandy
Dakika ya 38: Simba 0 - 0...
wakuu kama kuna mtu ameliona lile tangazo kua and 1 wanakuja bongo, sasa wameandika saa 10 mchana, mi cjaelewa ni saa 10 am au pm? kwa anaejua tafadhali
Habari za hivi punde kutoka tff zinasema kwamba waamuzi wa mechi ya Azam na Mtibwa iliyovunjika wameondolewa kwenye list ya waamuzi wa tff.Lakini pia kamati ya nidhamu imeipa Azam point3 na...
Pep Guardiola is understood to be on the brink of ending his tenure as manager of Barcelona after telling the club he cannot carry on.
The 41-year-old Catalan will announce his intentions at a...
Natazama hii game, mpaka sasa ni Wigan 4 na NewCastle 0....Half time
Nashangaa kitu kimoja..hivi hii inamaanisha premier league ni ligi bora kwa maana ya ushindani na kwa hivyo matokeo...
Sababu siskii clouds wakipromote mechi ya simba na al ahl shandy.Nashangaa maana hawa jamaa ni marafiki wakuzikana iweje leo wanatosana au simba "wameshtuka"?!
baada ya barca kutolewa majuzi,watu wengi hasa wale mashabiki wa mkono wa kushoto walidai wamefulia.sasa jana mungu co JK na madrid pia wametolewa ktk kipute cha mabingwa ulaya.sasa je nayo madrid...
Pep Guardiola will stand down as Barcelona manager at the end of the season after deciding not to renew his rolling one-year contract.The 41-year-old, who was appointed in 2008 and has led the...
KAMA AMBAVYO HAIKUTABIRIWA KUWA CHELSEA NA BUYERN WANGEFIKA FAINALI, VIVYO HIVYO HAIJATABIRIWA KUWA CHELSEA ATANYAKUA KOMBE. LAKINI UKITIZAMA TIMU NNE ZILIZOINGIA NUSUFAINALI UTAONA KWAMBA KATIKA...
The untouchable Barca and Real Madrid were eliminated from Champions League, but the modest teams, Atlético de Madrid and Athletic de Bilbao are in the finals of the European League.
What an irony!
Wamepoteza michezo mitatu iliyopita....
Wameondolewa kwenye UEFA champions league...
Wamezidiwa Point nyingi na dalali za kuvuliwa ubingwa wa la liga ni dhahiri...
JE HUU NDIO MWISHO WA BARCELONA??
Felix Sunzu
Personal information
Full name
Felix Mumba Sunzu
Date of birth
2 May 1989 (age 22)
Place of birth
Chingola, Zambia
Height
1.73 m (5 ft 8 in)...
Mpaka usawa huu bingwa yeyote atakayepatikana(kati ya Simba na Azam) kwa mtazamo wangu atakuwa hajapatikana kwa haki,ni miapango tu tena ya nje ya uwanja.
Wakati kina Mwasyika walipomtandika ngumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.