Tanzania tumepata kuwa na Ma Professional players wengi lakini sio siri huyu kijana Emmanuelle Okwi ni wa aina yake!
SIMBA VS SHANDY ( EMANUEL OKWI). www.shaffihdauda.com - YouTube...
Real Madrid has clinched the La Liga title 2011/2012 for the first time since 2008 after their 3-0 win over Athletic Bilbao.
Goals from Gonzalo Higuain, Mesut Ozil and Cristiano Ronaldo sealed...
The Daily Mirror claims that Redknapp's chances of getting the England manager's role "were relegated by his caring wife Sandra", leaving the way open for Roy Hodgson who was confirmed as...
Kuna tread moja ilikuwa hapa jamvini siku chache zilizopita ikiwa na uzi wa utabiri wa mwinjilisti fulani kutabiri kuwa Man City ndie bingwa wa premier league mwaka huu. Wakati akitabiri hayo man...
Hodgson: At Wembley press conference.
ROY HODGSON has vowed to win over fans and players alike after being unveiled as England manager.
The FA approached the West Brom boss on Sunday after...
Aisee hivi hawa jamaa wakizichapa nani ataibuka kidedea maana wAlishikana mashati kukunjana na fergie alishakunja ngumi kukosa wale wAtu wa security tungeshuhudia na mechi ya bure.Mancini...
Je tumemtumia vizuri Rais Kikwete katika kuinua kiwango cha Maendeleo ya michezo na Sanaa?
Rais Kikwete ni rais ambaye kati ya marais wa awamu zote nne amekuwa mwanamichezo na mpenda michezo kwa...
Wana bodi,naomba kufahamishwa sheria za mpira wa mguu zinasemaje iwapo mchezaji atarusha mpira akiwa nje ya uwanja moja kwa moja hadi kwenye lango la mpinzani wake na ukaingia je litahesabika kama...
Washabiki wa Dar es salaam Yanga Afrika, ya Umoja wa Mataifa jana mmeniangusha.
Kwanza, mlikuja kwa uchache sana pale Uwanja wa Taifa kitu ambacho si kawaida yenu, halafu mkajitenga, mkakaa mbali...
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho CAF, Simba SC sasa watawavaa El Ahly Shandy ya Sudan baada ya Al Ahli Shandi kuwachapa Ferroviario de Maputo ya Msumbiji jumla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.