Ratiba ya robo fainali -fainali ya ligi ya mabingwa ulaya imetoka,na kuonyesha njia rahisi kwa Real,kufika fainali!
Imepangwa hivi:-
AC MILAN VS BARCELONA,CHELSEA VS BENFICA. Washindi wa...
Habari wanajamvi!
Inasemekana kuwa kwenye michuano hii,endapo mchezaji mmoja wa club anapopewa kadi nyekundu basi ni vigumu kutolewa kwa kadi nyingine nyekundu kwenye hiyo hiyo club.
Ushauri...
Mwanaume mmoja anayekadiliwa kuwa na umri kati ya 20-25 amekutwa amekufa ndani ya nyumba ya kulala wageni(guest)maeneo ya sinza,baada ya kumpekua alikutwa na pasi ya kusafiria ya Nigeria na akiwa...
Taarifa za leo kutoka TFF zimethibitisha kwamba katika mechi moja iliyochezwa tarehe wikiendi iliyopita, timu zilizocheza ziliambulia TZS 68,000/= kila moja (USD 42), kati ya TZS 460,000+...
Simba 1 na Moro 0 goli limefungwa dakika ya 16 na Mafisango
Azam FC 1 na Mtibwa 1 wafungaji Salum Swedi na Mrisho Ngasa
FT Simba 3 na Moro 0
FT Azam FC 1 Na Mtibwa 1
Simba Bingwa...................
Arsenal striker scoops award after an outstanding year for the Gunners that has seen him shoot to the top of the Premeir League scoring charts.
The Netherlands international has scored 27...
Hivi jamani hakuna wameru,waarusha, Wairak au watanzania wowowte wanakidhi vigezo vya kushiriki marathon.
Kigezo nimesikia mtangazaji akisema ni uwezo wa kukimbia kwa muda wa masaa mawili na...
Ndugu mr 2 "SUGU" wale virus uliokuwa unascun kule kwnye entertainment kwa mafanikio makubwa, wenginewamekimbilia huku kwenye Soka, * wamejibadilisha *rangi sasa wana rangi nyekundu na...
Timu ya Newcastle united imezidi kuchanja mbuga kwenye ligi kuu ya uingereza baada ya leo ijumaa kuichapa Swansea city mabao 2 bila na kufanikiwa kufikisha point 56.Mabao yote ya Newcastle united...
Veronica Campbell-Brown has overcome grinding poverty to become one of the greatest Olympians that Jamaica has ever produced.
The 29-year-old Jamaican sprinter has had to overcome grinding...
Jinamizi la Hasheem Thabeet kubaki bench imeanza kuwa hadithi baada ya timu mpya kumpa nafasi ya kuwa katika kundi la Starts na hivyo kujiimarisha katika nafasi ambayo inampa uweza wa kudaka...
yan nawasha mashabiki wa man city,wanaona man utd hawana uwezo wa kuwafunga,bt kumbukeni msimu uliopita goli la rooney lile la tik taka.sasa ndio itakuwa hivyo,kaeni mkijua kuwa man utd ndio...
Fabrice Muamba: 'I ran upfield to try and get on the end of a cross from Martin Petrov on our left wing and as I ran back into midfield I felt very slightly dizzy.
'It wasn't a normal...
Annuncio vobis gaudium magnum!
(I announce to u the great joy!)
Madrid are the new La liga champions!
Hail Mourinho, Master of Tactics, the Special One.
Viva Ronaldo viva!
Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba, kocha wa timu ya Yanga, bwana Papic ametamka kutoifundisha timu hiyo tena akihojiwa baada ya kuifunga Polisi mabao 3 - 1.
Habari nazifatilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.