hiyo nimeamini baada ya baadhi yaviongozi na mashabiki wa simba kujiapiza eti na wao lazima waishangilie na kuisupport zamalek eti kwa sababu yanga walizomea siku kili star ilipokuwa ikicheza...
Ghana and Marseille winger Andre 'Dede' Ayew says that it is "amazing" to be voted BBC African Footballer of 2011.
The 21-year-old took over a third of the votes to follow in the footsteps of his...
Sijui sheria za FIFA zinasemaje kuhusu huu uamuzi ila refa kaua mechi kwa kuchukua uamuzi wa kumtwanga red card kipa aliyeshambuliwa na muhuni. Violent conduct in a pitch results into a red card...
SIMBA (ndevu)aunguruma na aungurumapo ! simba aunguruma hekaluni kwake leo hii akaunguruma NATION STADIUM sidhani kama kuna kadudu chochote kile kitatingisha kamkia kake
MANCHESTER UNITED could be handed an amazing Champions League lifeline.FIFA will suspend the Swiss FA and all their clubs unless the association punish FC Sion for fielding ineligible...
Round of 32
1 FC Porto* (POR) v Manchester City FC* (ENG)
2 AFC Ajax* (NED) v Manchester United FC* (ENG)
3 FC Lokomotiv Moskva (RUS) v Athletic Club (ESP)
4 FC Salzburg (AUT) v FC Metalist...
Kama unahamu ya kuharibu siku, basi na presha ikupande, na pengine uje ushie mirembe, basi we shangilia timu ya Taifa ya bongo siku inacheza! Wala usibishe!
Following his emphatic defeat to Larry Homes in October 1980 Muhammad Ali, who refused to accept the result despite being knocked out in the 11th, pushed for a fight with Trevor Berbick in...
Vitali Klitschko to fight Dereck Chisora in Munich, says German press
Vitali Klitschko eyes bouts against Chisora and fellow Brit Haye
Chisora controversially lost to Robert Helenius...
Kuna habari kwenye gazeti la michezo la leo 13/12/2011 kuwa Emmanuel Okwi alitangazwa na kupewa joint top scorer na akina Karekezi wa CECAFA Challenge cup ilyoisha majuzi wakati ana goli 4...
Kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara Kilimanjaro Stars Jamhuri Kiwelu (Julio) ameikimbia timu hiyo jana jioni na kuelekea Uarabuni.
Kocha huyo ameikimbia timu hiyo baada ya kufanya...
Yes...na Chelsea wamethibitisha kwa vitendo maneno yaliyosemwa na King Kenny wiki chache kabla ya the Cops kucheza na Sheikh Mansour Toys(courtesy Napoli President).....
Final Score: Chelsea...
Nimejiuliza huyu bwana anatumia uchawi ama lah
nikajaribu kuona huko nyuma amekuwa akibwabwaja kwenye redio apewe kazi na
kweli viongozi wa tff wanampa anaaribu anaishia kwenye matangazo ya redio...
1min: Real Madrid 1 - 0 Barcelona limefungwa na Benzema.
30min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona (Alexis Sánchez's equalizer)
42min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona
HT: Real Madrid 1 - 1 Barcelona...