Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Pamoja na kusema sikio la kufa alisikii dawa leo tumerudi tena kuangalia timu yetu ya taifa ikijaribu kuwaondoa majirani zetu stay tune
0 Reactions
94 Replies
8K Views
NBA players reject league's labor offer (1) -- NBPA president Derek Fisher explains the union's decision to disband. Updated Nov 14, 2011 7:17 PM ET NEW YORK (AP) NBA...
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Nilikuwa naangalia mechi kwa kweli yale matokeo ya tatu mbilinaona yamebadilika inaonyesha mpaka dk ya 70 tumefungwa 2 kwa moja na niyonzima akiwa ametushindilia bao moja bila kuwa mzalendo..so...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
KIUNGO wa Tanzania Nizar Khalfan ametemwa kwenye timu ya Vancouver Whitecaps ya Canada kutokana na kushindwa kuonesha uwezo wa kuridhisha kwa timu hiyo inayocheza ligi ya MLS nchini Marekani...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Sorry kwa julio na watanzania wapenda michezo ingawa bado tunauwezo wa kuibadilisha mechi hii na matokeo yanaonyesha vijana wa rwanda watatupiga 3 kwa mbili na hili litabadilika tu kati ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
leo 25/11/2011 mechi ya kwanza ni Burundi vs Somalia matokeo Burundi 4 Sudani 1 mechi kati ya Zanzibar vs Uganda ndio inaendelea Time table Burundi vs Somalia Uganda vs Zanzibar Sat 26th Nov...
1 Reactions
19 Replies
12K Views
The shortlist for 2011 is as follows:Wayne Rooney - United, vs Man City Benjamin De Ceulaer - Lokeren, vs Brugge Giovani dos Santos - Mexico, vs USA Julio Gómez - Mexico, vs Germany U17 Zlatan...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Malawi Queens regained the top spot in Africa and moved to position 5 in the world due to successes in Australia and Singapore. Malawi had lost the top position in Africa to South Africa early...
0 Reactions
1 Replies
967 Views
KAPATA NAFASI KUIONGOZA THE Council of East and Central African Football Associations (CECAFA)
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Man utd have not lost a game againts Newcastle utd at old Trafford since february 1972 (since the W 21.D 7 Man utd have not been beaten in their last 18 game vs newcastle.The marpies last beat...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
:shock:Is it really wanajamii? Am not so sure, kama wakina Gervinho, Arteta, Song na n.k. wasingekua wanamtengenezea nafasi za za kufunga RVP sidhani kama kama mapundits wangesema hivi! Nyie...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
huyu jamaa ana mikosi kweli! Red card kwenye siasa,na sasa kwenye kambumbu! Amepewa red card kwenye mchezo kati ya bunge la tz na bunge la Eac.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hebu tuchangie mawazo kupata timu ya wachezaji bora wa mpira wa miguu waliowahi kuchezea Taifa Stars katika kipindi cha miaka 50 iliyopita. Wale waliowashuhudia wachezaji wa miaka ya mwanzoni mwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
fifa imenishangaza sana kumuacha van persie kwenye wachezaj 23 wa kuwania mchezaji bora wa dunia!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Paulsen anaendea kupata changamoto baada ya timu yake kushuka hadi nafasi y 139 ukilinganisha na kpindi cha Maximo ambapo timu ilikuwa nafasi ya 98. mi ndo maana hadi leo namkubali maximo kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
dak ya 14 xavi anaifungia barc. mil 0-barc 1. over
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Wale wafuatiliaji wa matangazo ya mchezo wa mpira wa miguu(soccer) katika Tv tumezoea kuonyeshwa hii kitu. Labda utakuta 53%-47%. Nimekuwa najiuliza hii inakokotolewa vipi katika mchezo? Ni idadi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huyu jamaa toka ametangazwa kuiongoza kilimanjaro starz naona anakosa kujiamini kabisa kila kukicha anakimbilia vyombo vya habari mara kunakushindwa mara, tukishindwa msilaumu tumelilia timu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ilikuwa ni katika Mechi kati ya Galatasaray Vs Besiktas.. Washabiki wa basiktas walimtupia chupa na coins...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nataka niwe member wa jf je nitaratibu gani zanatakiwa kufuatwa?Je nikitaka kujiunga na golf ili nijifunze golf nini nifanye ili niweze kufanya hivyo?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom