Karibuni tuangalie live game kati ya MAN CITY VS NEWCASTLE UTD mida hii. Game limeanza muda huu
LINK Manchester City vs Newcastle United Live Stream Online
:poaRooney's stunning overhead kick for Manchester United against Manchester City in February is one of the 10 nominees.Barcelona's Lionel Messi is also in the running for his goal against Arsenal.
Katika hali ya kustaajabisha na ambayo mwenyekiti wa tff tenga anaendeelea
kuiendekeza kwa kugaiwa kamgao cha kipumbavu ile mechi ya simba na yanga ya ngao
ambayo walisema asilimia 10 inakwenda...
Wakuu wapenda ngumi hili pambano la kukata shoka linaanza si mda mrefu.
Wale wanaotaka kuona kwa bure nendeni: http://www.magictv.co/
Powa tuungane pamoja tuzungumzie pambano.
Timu ya Netball ya Ofisi ya Waziri Mkuu imetolewa kwenye mashindano ya SHIMIWI na kufutiwa ushindi wa mechi zao zote 4 kwa kuchezesha wachezaji ambao si watumishi wa Ofisi hiyo, wamechezesha...
Haya mechi iliyokuwa ikifanyika uwanja wa taifa kati ya Taifa Stars dhidi ya Chad imekwisha, timu ya Chad imeibuka kifua mbele kwa goli 1 na Taifa Stars 0,pamoja na kufungwa Taifa Stars inaendelea...
TAIFA Stars ilithubutu kuifunga Chad kwao, leo iifunge timu hiyo Uwanja wa Taifa Dar es Salaam ili isonge mbele.
Hivyo ndivyo unavyoweza kuzungumza mtihani muhimu kwa timu ya soka ya Taifa...
leo nilitegemea tbc1 wangeonyesha mechi kati ya gabon na tz,lakini wameweka kipindi tofauti.Basi ngoja nicheki mechi kati ya kenya na shelisheli live.SAWASAWA!
Polisi wa Uingereza wanachunguza barua ya vitisho iliyotumwa kwa mchezaji wa QPR Anton Ferdinand.
Maafisa wa Polisi wa Metropolitan wamekataa kueleza kilichoandikwa katika...
Naibu waziri wa habari na michezo leo kanitolea mpya pale aliposema "Vyama vinavyoshiriki premier ligue vianzishe viwanja vyao vya mpira" akitolea mfano timu za Mtibwa, Azam na Yanga. Halafu pale...
I saw this Article on-line
I was all prepared to preview the Champions League this morning or perhaps review some of the Premier Leagues brilliant performers from the past weekend (Sturridge...
Jamani nilikuwa nimejilaza kwenye kuchi baada ya uchovu wa kutwa nzima.
Usingizi ulikuwa mtamu sana na wenye ndoto za kitoto.
Katikati ya usingizi mnono nashtushwa na makelele ya mashabiki wa...
najiuliza sana na sasa niwaulize wadau wa soka, hivi stars imeimprove ama Chad ni vibonde? Poulsen atatatetea kibarua kesho maana nahisi kama ugenini ilikuwa kakobe!
na Dina Ismail
HABARI ndiyo hiyo! Mabingwa wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara, Yanga imemsajili kiungo wa zamani wa Simba, Athuman Idd Chuji kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo katika...
Kikosi cha Simba cha sasa hivi kinanikumbusha timu ya kipindi cha nyuma cha Wekundu wa Msimbazi wakati ndio mpira unapigwa kihuakika. Ongeza wengine tujikumbushe soka lilivyokuwa tamu. Hata watani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.