Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

In news that will make you care about J. League Division 2 football for just over 30 seconds, Fagiano Okayama defender Ryujiro Ueda scored an incredible long-range header against Yokohama FC this...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Nani kawasahau hawa? Sasa wako ofisi moja.........kama watangazaji
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Klabu ya simba leo imemfuta kibarua kocha wao Moses Basena baada ya kufungwa na Yanga bao 1 - 0 katika mchezo wa ligi kuu. Aidha pia Emanuel Okwi na Godfrey Kaburu wamesimamishwa na uongozi huo...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Hapa Wenger alikua anaiba style!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NI KWELI SERIKALI YETU INASAIDIA KUKUZA SOKA? Habari zenu wasomaji wangu popote pale mlipo lisomwapo jarida hili mahiri la mpira wa miguu Tanzania,leo nimekuja na mada kuu moja iliyopo mezani je...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Francis Miyeyusho kanifurahisha sana...Full konfidensi....Matumla chaliiiiiiiiiiiiii....Hongera ngumi mawe. Ila kwa point jamani. Source: Nilikuwepo Diamond Jubilee.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mijawapo wa viungo walinivutia sana kwa upande wa Yanga S C kwenye Kagame Castle Cup iliyoisha wiki iliyopita mbali ya Nurdin Bakari ni huyu dogo Kijiko,japo alicheza mechi chache lakini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu wapenzi wa simba ni vyema mkasahau yaliopiya kama nduguzetu wa libya walivyomsahau mwenzao gadafi na leo wanahangaika kutengeneza nchi ingawa nassikiliza mtumishimmoja anaitwa td...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi swimming pool ya chuo ambayo kwa kweli ni moja ya swimming pool nzuri mjini, imefungwa kabisa? Kuna kipindi ilikuwa inaoperate, ila hali yake ilikuwa mbaya. Maji machafu na ilikosa kabisa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
hayo yametokea muda mfupi baada ya mechi kumalizika,kwenye dressing room ya simba. Inapatikana hapa www.shaffih.blogspot.com
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wat a great score for gunners....weldone vijana wa wenga
0 Reactions
10 Replies
2K Views
mambo yameanza kunoga yanga kaza buti
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika mechi ya jana uwanja wa taifa kati ya Yanga na Simba nimeshangazwa na ​waandishi wa habari wote kukaa upande wa VIP A sehemu ya kulia mwa uwanja ambayo hutumiwa na washabiki wa Yanga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jumamosi ya 29/10/2011 matokeo yatakuwa YANGA 1-SIMBA 6. Kipigo watakachopata hawa yeboyebo naona itakuwa kama MAN UTD VS MAN CITY. karibuni tuchangie, Nawasilisha.
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Katika hali ya kusikitisha na kuhuzunisha imegundulika kuwa Simba na Yanga walipanga matokeo ya game lao la Jumapili....Na hii iliwekwa ili kuweza kuwasaidia viongozi wa Yanga ambao walikalia kuti...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
chelsea oh chelsea what happened to your stamford bridge's supremacy? What wrong with th person u give the captaincy...........?waswahili wanasema"usimcheke mto kabla haujavuka mambo.!" bado man...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau kinachoendelea hapa kwa sasa ni shamrashamra na majigambo ya mashabiki,nimeona mashabiki wa msimbaz wamebeba kitu mfano wa jeneza,kisha lina rangi ya kijan na njano,kisha limeandikwa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Hawa jamaa kutoka USSRwalikuwa balaa kwenye mchezo wa chess miaka ya mwisho ya 70 mapaka 80 na 90,sijui wako wapi na mchezo wenyewe naona umefifia.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni dakika ya 3...Yanga 0 : Simba 0 nani atalala mapema leo. ===== Yanga 1 : Simba 0...
3 Reactions
112 Replies
13K Views
Nimekuw nikifwatilia mjadala unaoendelea kati ya vilabu vya ligi kuu vikiongozwa na Geofrey Nyange Kaburu na TFF ambapo vilabu vinataka ligi kuu uendeshwe na kampuni kama FIFA wanavyotaka na kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom