Mshindi wa mechi ya leo kati ya Simba ya Yanga ameshajulikana.
Ni Azam FC!
Leo hii Simba na Yanga watakapomenyana Uwanja wa Taifa kama kawaida watajaza uwanja mpaka pomoni. Ili kuwahi viti...
Huu sio ubinadamu
najua wengi watafurahia lakini ushindi wa man city 6 man u 1
sio ubindamu wafike wakati waanafunga waangalie wanachezea wapi
na wachezaji waliopo wako kiwango gani;;ingawa ni...
Wakuu leo nimesikitika sana,kuna kipindi nimeangalia ITV cha guiness sport,kuna madogo sijui wametoka wap!maswali marahis wamechemsha,walikua wanashindana na wakenya na waganda!mtu hajui hata jkt...
wakuu habari yenu
ebwana mimi kiukweli simkubali kabisa kipa wa manchester united wa sasa david de gea ......
Anafungwa kizembe sana, anatema mipira kizembe sana hajui kupanga mabeki wake
wakuu...
Jana Serengeti baridi zilikuwa zinashuka taratiiibu huku nikimshuhudia David Sylva akionyesha some worldclass kiwango! Wazee what inauma zaidi kati ya kufungwa 8-2 ugenini tena ukiwa na kikosi cha...
Pengine naweza kuwa sheikh ya hya kwa mechii hii ya jumamosi pale taifa
sipendi kusema mengi ila nasema na ntarudia kama oden atabaki kuwa mwamuzi
wa simba na yanga ;wachezaji na mashabiki...
Hivi huyu jamaa mbona simuelewi kabisa kwanini anajihita Mr Liverpool na alipewa na nani kwa vigezo gani? Halafu mie naona kama ni kujidhalilisha kujiita majina yasiyo na maana isipokuwa utumwa na...
Jaana kuna website nimesoma asbh aliamshwa na mkewe kwa ajili ya chai akamwita
Hny come for breakfast
aliposhtuka akauliza
""wameongeza lingine tena"""""
Mapenzi kweli kizungumkuti mke...
Yanga wamekatisha mkataba wa kocha wao Sam Timbe na kumrejesha aliyewahi kuifundisha timu hiyo ya Jangwani Kostadic Papic. source: radio one.
My take: Watani wetu isije kuwa mnatafuta...
Huyu bwana ni bad boy in nature au matatizo huwa yanamfuata tu kwa bahati mbaya?! Alituhumiwa kuwatupia vitu wachezaji wadogo wa Man City, Giggs kamtuhumu kama pro football palyer anayeongoza kwa...
Sergio Busquets - racial slur against Marcelo
Hapa Busquets anaonekana anataja neno "MONO" kwa mchezaji wa Madrid Marcelo.
Neno hilo ni la kibaguzi nchini Hispania
Source>>>>>YouTube -...
Timu za soka za Ligi Kuu Moro Utd, African Lyon na Villa Squad ndizo mpaka sasa zimetangaza rasmi nia yao ya kuutumia uwanja wa Chamazi Complex nje kidogo ya jiji, uwanja huo unaomlikiwa na...
Wakiwa nyumbani OT,Man U wamegongwa 6-1 na mahasimu wao wa jadi Man city.Hii aibu ni sawa na mtu mzima kuogeshwa roundabout ya Msamvu-Moro mchana kweupeee!
Ni mda sasa tangu ligi kuu ya Barclays Premier Legue ianze..kinachonishangaza na kunisikitisha ni pindi mechi inavyochezwa kila kitu Tanzania kinasimama vijana wa vijiweni ndiyo usiseme..kwa maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.