Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mimi ni muudhuriaji mzuri wa mechi za timu ya za bongo .ktk timu inayotumia pesa nyingi katika usajir hapa bongo ni timu niipendayo ya Yanga.Lakini ndio timu inayoongoza kwa kununua magalasa/feki...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Rage oyeeeeee!!!!!! Kumbe kweli CCM ni chama cha majambalika wanaotishia raia kwa bunduki!! Kwenye kikao cha Simba uje na mguu wa kuku ili tukusaidie kuubeba maana unaonekana ni mzito sana.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Al Wasl manager Diego Maradona was filmed on Thursday kicking a supporter intent on ruining a pre-match photo call.
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Sasa nakufa kwa hofu na presha na sina Raha kabisa kwenye ligi hizi,du nipeni pole coz hakuna kule ninaunafuu.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Walipofungwa kwenye fainali ya ligi ya mabingwa ulaya May, 28, mwaka huu Sir Alex Ferguson aliahidi kutengeneza kikosi ambacho kitaifunga Barcelona na kuchukua ubingwa wa ulaya msimu huu. Je wewe...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa hali inavyokwenda sasa katika ligi kuu ya Vodacom. Kuna uwezekano mkubwa kwa mabingwa watetezi Yanga kushuka daraja. Ingawa ligi ndo kwanza ipo mwanzoni mwanzoni lakini nyota njema huonekana...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Yaani huwezi amini hii kitu,goli li wazi na unapiga nje?Mh,sijawahi kuona hii.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
LONDON, England WINGA wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amesema Barcelona ni klabu kubwa duniani lakini inaongoza kwa kubebwa. Ronaldo anaungana na kocha wake, Jose Mourinho kuilaumu timu hiyo...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
The Citizen (Dar es Salaam) 17 September 2011 Editorial The national netball team, Taifa Queens, on Thursday earned Tanzania a silver medal after finishing runners-up at the 2011 All Africa Games...
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Wazeya yule boxer tajiri and undeafeated Floyd Mayweather jr. kesho jumapili anapambana na Victor Ortiz mida ya alfajiri sana. Naomba wale wazee wa kuwanga night watutupie matokeo hapa jamvini as...
0 Reactions
72 Replies
7K Views
jaman nahitaji maoni yenu kuhusiana na mech hiyo jpili......
0 Reactions
25 Replies
2K Views
LAS VEGAS (AP)—In just one round, Floyd Mayweather Jr. got a head butt, a kiss and a hug from Victor Ortiz. He responded with a right hand that ended a bizarre fight early. The end came just as...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Floyd Mayweather vs. Victor Ortiz: Live Round-by-Round Updates
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taarifa nilizozipata hivi punde Mwenyekiti wa chama cha soka Manispaa ya Temeke jijini Dsm, Bwana PETER STEPHEN MHINZI ametenguliwa uraia wake wa Tanzania baada ya uchunguzi wa kina kubaini kuwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mnaikumbuka LEEDS UNITED! Ilikuwa inatisha enzi za kina Rio lkn ikaporomoka mpaka .... Sasa Asernal nayo inaelekea huko balaa gani hili?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mpaka sasa ruvu shooting 2-1 coastal uwanja wa mabatini mlandizi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Meneja wa uwanja wa michezo mjini Arusha Bwana Ngwabi amesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa ubadhirifu wa mapato ya uwanja huo.Uwanja wa michezo sheikh Amri Abeid ni miongoni mwa viwanja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yanga 1-0 Africa lyon mfungaji davies mwape updates yanga 1-1 Africa lyon dk 44
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Timu zitakazoshiriki kwenye michuano ya ligi ya mabingwa kwenye hatua ya makundi zina uhakika wa mgao wa Euro Milioni 7.2 kwa kila timu mgao ambao unatokana na mapato yanayopatikana toka kwenye...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom