Inakaribia miaka 30 sasa tangu Tanzania ishiriki mara ya mwisho kwenye mashindano makubwa zaidi ya soka barani Afrika, CAN. Na kwa hali jinsi ilivyo kwasasa sidhani kama tunaweza kushiriki kwenye...
Wapendwa, tukio la siku hizi mbili timu zetu kongwe za Simba na Yanga kucheza pale Chamazi zimenipa fikra ya kutaka kujua nikiwa shabiki wa timu hii Simba Sports Club. Kwa muda mrefu viongozi wa...
sijui wanajisikiaje kutumia uwanja unaomilikiwa na klabu iliyoanzishwa miaka mitatu iliyopita wkt wao klabu zinakaribia karne nzima?
Hawa watu kweli hata aibu hawana,duuh!
yanga imeonesha ungangari kugomea jezi za vodacom kutokana na kuwa rangi nyekundu. Lakini hatuoni ikigomea rangi nyekundu na nyeupe ambazo zinatumiwa na watu wa huduma ya kwanza maarufu kama red...
Timu nyingi za ulaya naona zina wanyama ambao kidogo wanafanania na simba lakini sio simba.
Miongoni mwa timu hizo ni Manchester United na Chelsea. Man wanamwita mnyama wao SHETANI MWEKUNDU, je...
Wakuu napenda tujumuike pamoja katika mada hii inayoendelea kwa sasa katika Star TV na itakamilika majira ya saa 3:00 ASUBUHI
Tupo Live, weka maoni yako hapa na yatasomwa LIVE
Nawasilisha
ama kwa hakika ni tarehe 13 ya mwezi wa 9 ktk dimba la Nou Camp ambapo kutakuwa na mechi kati ya mabingwa watetezi wa klabu bingwa barani Ulaya yaani Barcelona watakapo pambana na mabingwa mara 7...
:msela:Following the English Premier league (BARCLAYS PREMIER) start-up this season of Manchester United and Chelsea, who do you think will dominate/win the race at the BIG MATCH this weekend?
Haya wapenda tennnis na wanafatalia kina serena williamd andy muuray federer Tundeleeeee.
Hapa tujadiliane mashindandano ya ATP na grand slam za mwaka huu 2011
Nimeona jana Andy Murray...
The Citizen (Dar es Salaam)
8 September 2011
Dar es Salaam The International Amateur Athletics Federation (IAAF) has showered praise on the Tanzania Olympic Committee (TOC) secretary general...
Jamani wana jf naomba mnijuze yanga wana matatizo gani? Kila cku draw hadi wanaboa! Au ule ubingwa wa east africa 2lipewa? Wenye details chanzo cha matatizo Yanga anijuze.
Kama wafanyavyo wenzetu Ulaya na kwingineko duniani,ligi yetu ya Vodacom ingekuwa inasimama ili kupisha michezo ya kimataifa.maana kwa sasa kuna timu zimeshacheza mechi tano zingine zina 2...
Kwa timu hii ambayo siasa imejikita ndani huku uswahili ushachanua ni vigumu kuifunga Algeria!!
Binafsi namuona kocha kawa mswahili,tff wamekuwa wanasiasa na serikali ipo ICU ikisubiri kujifungua...
Bila ubishi mechi ya jana ya kufuzu katika mashindano ya AFCON 2012 kati ya Taifa Stars v/s Aljeria ilikuwa nyepesi sana kwetu kama utulivu,umakini na weledi(proffessionalism) ungekuwepo. Tuliwapa...
Na Dina Ismail
ALIYEWAHI kuwa Katibu wa Klabu ya Simba na Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Pwani (COREFA), Hassan Othman Hasanoo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni...
Timu ya Taifa ya Taekwondo inatarajiwa kuondoka siku ya Ijumaa tarehe 9 Sept 2011 kuelekea maputo Msumbiji kushiriki kwenye michezo ya Afrika. habari kutoka ndani ya kambi hiyo zinadokeza kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.