Jamaa bana wakimuomba Diamond akapige show siku yao ya jumapili pale kwa mkapa, maana wao wanacheza trh 4 na sisi tunaanza trh 3 kuutumia, tunaujambiaaa halaf wao wanakuja kutumia kudadeki, basi...
Kati ya Mastaa wa Olimpiki waliotikisa Vichwa vya Habari ni Mturuki Yusuf Dikec na Mkorea Kim Ye-ji katika Mashindano ya Kulenga Bunduki ambao wote walishinda Medali za Fedha
Kim Ye-ji, amekuwa...
klabu ya Yanga imemtangaza msanii harmonize kutumbuiza katika kilele cha siku ya wananchi tarehe august4 siku ya jumapili na tayari msanii huyo ametambulisha nyimbo yake mpya atakayo tumbuiza siku...
Bila ya kujalisha upo timu gani, bila kujali ni wakina nani waliopo nyuma ya Kibu Denis, wapenda soka wote wanapaswa kumlaani kwa alichowafanyia Simba.
Simba wamemtoa Kibu huko walipomtoa...
Kitu kizuri ni kizuri tu. Lakini sio kwa hii jezi. Weka ushabiki pembeni ugundue hizi sio jezi za mpira bali ni vitenge.
Kwa nini Yanga inatumia nguvu kuaminisha vitenge vinaweza kutumika kwenye...
Ratiba ya wiki ya Mwananchi inaonesha kuwa siku ya ijumaa ni siku maalumu ya dua kwaajili ya timu yetu.
Napendekeza kuwa kwakuwa wachezaji, wanachama na mashabiki wa Yanga ni watu wa imani...
Msimu uliopita tumekwazika sana, pengine katika maisha yetu ya soka hasa kwa vijana wa kizazi hiki wasioijua simba msimu uliopita tulipoteana sana, sisi ndio tumewafanya Yanga waonekane wako juu...
Imenishangaza sana kuona Club ya Young Africans wanakubali mkataba wa kimangungo kabisa.
1 bilion kwa miaka mitano ni hela ndogo sana na sijui watanufaikaje nayo in a long run.
Pesa ambayo kwa...
Timu haijashinda Ubingwa wa ligi kuu Misimu mitatu mfululizo lakini Mashabiki hawajawahi ingia bure Uwanjani, bado siku tatu kuelekea Simba day lakini Uwanja ushatapika
1. Simba haikuchukuwa tuzo...
Ujio wa Manara Yanga unamnyima raha Ally, kama Ally hatauona ujio wa Manara kama faida kwake kufanyakazi na mkongwe/nguli kwenye tasnia na badala yake amuone kama adui kwake, patachimbika...
Baada ya Klabu hiyo ya Kristiansund kutuma Maombi yao ya Kumnunua Simba SC wakaambiwa kuwa Wasithubutu na wala Wasipoteze muda Wao Kumnunua kwani bado ana Mkataba na Simba SC.
Kusikia hivyo...
Ufunguzi huo uliosheheni nakshi nashi za namna yake umepigwa vikali na vikundi vya watu wenye imani kali; wakiishutumu Ufaransa ambaye ndiye mwenyeji wa michezo hiyo mwaka huu kuwa maonyesho...
Naona matokeo mapema this time
Mechi itakuwa ngumu kipindi cha kwanza
.Cha pili yanga wataingia na kasi ya ajabu sana sana aijawahi kutokea
Kama baadhi ya wachezaji wa simba watashindwa...
Timu ya kikapu ya Marekani imeibuka na ushindi wa pointi 103 - 86 dhidi ya Sudan Kusini katika mechi ya Olimpiki iliyomalizika muda mfupi uliopita huko Ufaransa.
Sudan imeshindwa kufua dafu mbele...
Kikosi cha Manchester United kimepata pigo baada ya beki mpya wa kati kwenye timu hiyo aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 59, Leny Yoro kupata majeraha yatakayomuweka nje kwa miezi mitatu, pia...
Hizi ni kauli za manguli wa uchambuzi wa taifa hili, kwamba pale Yanga tayari vijana wa umri mdogo walishajipata, na wanaendesha idara kwa weledi wa dunia ya mbele. Idara imejaa Generation Z ambao...
Watanzania ni watu wa ajabu sana yaani wizara ya michezo naambiwa imepeleka wanamichezo 7 kwenye michezo ya Olympic ufaransa ambao nao hawana uhakika wa medali kutokana na mazingira duni ya namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.