Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Aziz Ki amechukua tuzo ya mchezaji bora wa msimu wa 2023/2024. Tuzo hii kwa Aziz Ki inakuwa tuzo ya tatu usiku wa leo, akiwa amechukua tuzo ya Kiungo bora wa...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
📝 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Simba Sc imemtangaza nyanda Moussa Pinpin Camara kama mchezaji mpya klabuni hapo akitokea klabu ya Horoya AC ya Guinea. Camara (25) raia wa Guinea 🇬🇳 mwenye urefu wa...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Kusema kweli nimesikitishwa sana kumuona Kibu akifanya mazoezi tena baada ya drama za kitoto sana alizoifanyia timu na mashabiki wake. Dharau kama hizi zikiachwa ni sawa na saratani mbaya ambayo...
0 Reactions
3 Replies
367 Views
TFF Huwa mnataza mpira mkubwa wapi Yaani kwenye league yetu hakuna kiungo mkabaji mwenye sifa zote kama Aucho Sawa mmemnyina tuzo hata kwenye majina ya walioshindania tuzo hayumo. Aucho ni...
8 Reactions
16 Replies
819 Views
Mchezaji wa Simba SC Kibu Denis leo ameonekana katika mazoezi na timu yake akiendelea kujiweka sawa kuelekea katika kilele cha Simba day itakayo fanyika kesho. Kibu awali hakuoneka akijiunga na...
2 Reactions
8 Replies
793 Views
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool. Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri...
11 Reactions
345 Replies
20K Views
Baada ya sintofahamu ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokuwepo kambini nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao rasmi amerudi mazoezini. Kibu amejiunga na wenzake mazoezini leo...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Klabu ya Simba SC ( kupitia Msemaji wake ) imesema kuwa kwa Klabu yoyote ambayo inamtaka Kibu Denis basi Dau la Kumsajili ni Dola za Kimarekani Bilioni Moja tu. Si mnajifanya Wajanja kwa kutaka...
24 Reactions
109 Replies
4K Views
Tuzo za TFF zimeonyesha ni kwa namna gani timu ya wananchi ilivyokuwa bora msimu uliopita, walijipanga kwa usajili bora kuanzia kwa kocha mpaka Wachezaji. Ukilima vizuri basi pia utavuna vizuri...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Nyota wa zamani wa Roberto Firmino kwa kushirikiana na mkewe, wameanzisha kanisa huko Maceio, Brazil ambalo yeye atakuwa miongoni mwa wachungaji. Kufunguliwa kwa kanisa hilo ni kutimia kuwa ndoto...
7 Reactions
11 Replies
977 Views
Inabidi tuambiane mapema uongozi wa Yanga ufahamu msimamo wa Wananchi ni kwamba hatutaki kumuona Manara. Mc wetu ni Maulid Kitenge na Zembwela imeisha hiyo. Ally Kamwe ni Boss hii siyo kazi yake.
9 Reactions
48 Replies
2K Views
SOLD OUT YA UBAYA UBWELA HII HAPA. Kwa wale wachache wa mwisho kupenya na kupata tiketi changamkeni. Huu umekuwa ni utamaduni wa Simba kuujaza Uwanja kwa kuuza tiketi zote, Ni tofauti na upande...
14 Reactions
71 Replies
2K Views
Yaani Clip nzima Yeye ni Kufoka tu huku akiwatukana Wachezaji Vijana na ninahisi hata mbeleni labda Aliwapiga pia.
4 Reactions
9 Replies
725 Views
1. Mpakwa Mafuta ( Masaki na Temeke Uwanja wa Uhuru ) 2. Bia Kijiti daima ( Sinza na Tandale ) 3. Maisha ya Matumaini ( Masaki, Kariakoo, Ilala na Buguruni ) Imeshaisha hiyo.......Kudadadeki.....!!
1 Reactions
2 Replies
281 Views
Simba SC yamtangaza kipa wake mpya ambaye ni Moussa Camara akitoka Guinea katika clabu ya AC Horoya kipa huyo atakua anaidakia timu ya Simba SC kwanzia sasa.
2 Reactions
3 Replies
579 Views
Hivi vilabu kuna vizee vina midomo michafu,vikikuombea dua baya hutoboi kama hauko vizuri. Ukitaka kumchokoza mtu wa Kigoma muite Mrundi,atakypiga ngumi,watu wa Burundi wana stress muda wote,wana...
14 Reactions
54 Replies
3K Views
Tuzo ziliendana na ukweli wa kile kilichotokea kwenye msimu. Hata wanaotufuatilia hawatatukosoa. Ni shida ndogondogo tu za kibinadamu kama vile goli bora la Kipre. Kipre alifunga goli bora kwenye...
1 Reactions
0 Replies
242 Views
Ni matukio ambayo GENTAMYCINE sitaki kabisa kuyakosa hasa hasa lile la tarehe 8 August, 2024 litakalokufa Jitu huko.
0 Reactions
1 Replies
255 Views
Nampenda sana Fei Toto kwakuwa ni mzawa na mtanzania mwenzetu, lakini ni kweli kwamba Aziz Ki ni bora sana kuliko Fei Toto tena kwa mbali sana, lakini na Diara ni bora sana kuliko Matapi. Mfano...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Kuna vitu inabidi vifafanuliwe kuhusu hiyo supu, Je, Itakuwa supu ya mbuzi, ng'ombe, kuku wa kisasa au kuku wa kienyeji? Je, Tujibebee bakuli na vijiko kukwepa usumbufu au wataandaa vyombo vya...
1 Reactions
14 Replies
469 Views
Back
Top Bottom