Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mchezaji hasajiliwi kisa anajua kupiga danadana. Mchezaji hasajiliwi kisa anatoka nchi inayoongoza kwa kujua mpira, basi ukajua eti nae anajua mpira. Leo ndio siku MO ataanza kujuta kuhusu pesa...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Nimepataa dondoo kuhusu bei mpya ambazo zitakuja kutangazwa siku chache zijazo na kampuni ya AzamTv. Kwasasa kuwaona akina Pacome au akina Debora na Fei Toto ubaoni ni Sh 28,000/= Ndio kifurushi...
11 Reactions
55 Replies
31K Views
Angalia hii picha unaona bado watu wananunua tiketi sasa nashangaa sababu tuliambiwa ni sold out na mimi niliuamin uongozi wa simba kwa asilimia 100 sasa nimepita lampard electronics nimeshangaa...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Ujio wa kipa mpya kutoka Guinea, Moussa Camara 'Spider' umemfanya winga wa Simba, Willy Onana kung'oka Msimbazi baada ya taarifa kuvuja kuwa yeye ndiye anayempisha kipa huyo aliyetua kuziba nafasi...
2 Reactions
14 Replies
825 Views
Kuwa kuna Mtu Kesho Citizens Day anaweza akayakoga Matusi makubwa, kutakiwa aondoke na hata Kupopolewa pia.
1 Reactions
4 Replies
765 Views
Tangu nimsikie Mbwana Samatta katika jukwaa la kimataifa sijamsikia tena mzawa mwingine Mtanzania akiwa maarufu hapa Africa au duniani kwa ujumla katika sekta ya michezo. Huenda sababu mojawapo...
1 Reactions
6 Replies
357 Views
Kwanza kabisa hawa wote ni vijana wadogo, Elie Mpanzu ana miaka 22, na Mzinze ana miaka 22, Kiuhalisia Mzize ana mafanikio makubwa sana kuliko mpanzu, hata ubora wa uwanjani bado Mzize yupo juu...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Hizi akili za kudhani ni lazima awe na ajira Yanga hazifai kabisa. Kila shabiki na Mwanachama akitaka kupata manufaa Yanga ni fikra za kinjaa njaa sana
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Bongo mtu akisikia michezo kinachokuja akilini ni football [emoji460]️ tu. Hata kelele nyingi na uwekezaji uko kwenye football. Na huko ni full mambo ya usimba na uyanga tu. Jamani dunia...
2 Reactions
5 Replies
335 Views
Inanikera sana. Na kuna wanayanga wengi wameingiwa na huu ujinga nao wanaitumia hii kauli mbiu. Jana nimetoka kulumbana na mtu kuwa aache ujinga. Kauli mbiu yetu inafahamika but why anatumia ya...
1 Reactions
4 Replies
727 Views
Kuna mchuano mkali hapa, atakayetangaza nadhani ndo picha halisi kwamba ana nguvu kuliko mwenzake ndani ya Yanga. Hapo lazima kutakuwa na anguko la mmoja kati ya hao hapo Labda kuondoa...
2 Reactions
16 Replies
675 Views
Kuna hili swali wadau hivi timu kubwa yenye MAFANIKIO makubwa katika ligi zote ilizoshiriki pale uingereza ni timu gani hapa nikimaanisha ligi kuu na UEFA naomba kuijua ambayo ni namba moja maana...
0 Reactions
10 Replies
713 Views
Wakuu sana JF na wapenda Michezo, especially Football, Nisiwachoshe Msinichoshe niende kwenye Point. Tuzo za TFF 2024 zinazoendele kwa sasa zimeonesha ni jinsi gani hii Taasisi ni Moja kati ya...
17 Reactions
30 Replies
2K Views
Siku zingine tumieni Akili haiwezekani Mwenzako anafanya Tamasha lake leo na unajua kabisa kuwa Uwanja utakuwa Busy, Matukio ni mengi na Branding nazo zikiwa za kila aina ambazo hata Kuziondoa...
0 Reactions
9 Replies
607 Views
Huyo binti pichani Angela Carimi kutoka Italy aliangua kilio mapema leo baada ya kula kichapo kitakatifu kwenye ndondi ya wanawake huko nchini Ufaransa kwenye ile michezo ya olimpiki. Wakati wa...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna video na picha zinatrend mitandaoni zikionesha Mchezaji wa Yanga na Hamisa Mabeto wakiwa katika dimbwi zito la mapenzi katika uwanja wa mazoezi Licha ya ofa kubwa kutolewa kwa Aziz Ki bado...
6 Reactions
83 Replies
4K Views
Alikuwa ameanza vizuri tu, ila nae sasa kawa Mpuuzi wa kupenda yale mambo yetu ya Kienyeji / Kuroga kwa Kuumiza Wenzake. Mwambieni huyu aliyekuja Leo yaani Kihistoria tu nchi aliyotoka kama hujui...
6 Reactions
12 Replies
980 Views
Timu ya Yanga imefanikiwa kuuza tiketi zote za mzunguko katika kuelekea wiki ya Mwananchi. Wiki ya Mwananchi itafanyika jumapili ya agosti 4,2024 katika uwanja wa Benjamimi Mkapa. Awali kulikuwa...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi binafsi hata iweje kwa kujijua Kwangu ni mwana Simba SC kamwe siwezi kuwa na Ukaribu wa Mashirikiano ya aina yoyote yale na Mtu wa Yanga SC. Sasa inakuwaje Watu kama akina Ommy Dimpoz na...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom