Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimeona mtandaoni kwenye shamrashamra za yanga day nikakumbuka habari za awamu iliyopita. Gerson Msigwa amekata mauno yanayoendana na Kangi Lugola. Msigwa akiwa na kibukta chake ameshika kiuno...
0 Reactions
12 Replies
714 Views
Kikosi changu cha Yanga baada ya kuitazama jana kuelekea tarehe 8 Agosti, 2024. Baada ya mechi ya jana ya Yanga dhidi ya Red Arows kwa jicho langu nitaweka kikosi hapa ambacho kwenye mechi ya...
6 Reactions
9 Replies
826 Views
Football mchezo wa muda mfupi sana. Sasa shangaa Shomari Kapombe ambaye wakati anajiunga Simba aliwahi kupewa tuzo ya mchezaji bora chipukizi na bodi ya ligi. Ni jana juzi tu lakini kwa sasa pale...
1 Reactions
6 Replies
588 Views
Jana tarehe 3/8/2024 ilikuwa ni siku ya Simba day. Ni siku ya pekee kwa wapenzi wa Simba katika kutambulisha wachezaji wapya, bench la ufundi, jezi n.k. Tunajuwa viongozi siku zote wanakuwa mfano...
1 Reactions
11 Replies
702 Views
TFF na serikali, hebu mlione hili ili tupate balansi, wakienda hawa, hata wacheze dakika 10, mtasisimua michezo huko, iwe Mbeya, Arusha
0 Reactions
2 Replies
327 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna Mwanadamu anapendwa na Kukubalika kuliko Binadamu wote Barani Afrika, basi Binadamu huyo ni Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama...
10 Reactions
58 Replies
1K Views
Yanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Leo ndiyo leo Yanga katika sherehe yao kubwa ya msimu na kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025. Utakuwa pande zipi kusherekea burudani ya muziki na ya soka katika kilele cha wiki ya Mwananchi...
2 Reactions
6 Replies
468 Views
Ujumbe huu kwa uongozi wa Simba Day & Yanga wenye imani ya dini ya kiislam (Wasiokuwa waislam haiwahusu) Mapambio yanaaza ynaanza saa 9 hadi saa 5 usiku. Swala ya Alaasiri Swala ya Magharibi...
1 Reactions
8 Replies
604 Views
Nimemsikia Kitenge anasema hapa kuwa uwanja wa Taifa umejaa mpaka mashabiki wengine wameingia uwanja wa Uhuru, swali langu je hao mashabiki nao walinunua tiketi au walipewa ofa tu? Na kama...
2 Reactions
5 Replies
504 Views
Wananchiiii kwa Mkapa ni burudani na raha tu leo katika kilele cha wiki ya Wananchi. Tumefunika kelele za makolo wote wapo kimyaa. Wasubiri 8 agosti, 2024 tuwaonyeshe sisi ni wakina nani.
0 Reactions
4 Replies
416 Views
Nauliza tu, hasa baada ya kusikia nyimbo za Chidi Benzi, zimepigwa jana na leo, na matamashi haya are worth billions, na chidi anatembea kwa miguu hapo Dsm akiwa hana maisha
4 Reactions
4 Replies
345 Views
Wewe shabiki wa timu kama usipopewa supu unywe na timu Yako upata nini kutoka kwenye timu Yako? Hasara mwanzo mwisho. Kama timu zinarejesha kwa jamii kwanini iwe shida kurejesha kwa wanachama na...
2 Reactions
31 Replies
898 Views
Hapo vipi. Kwa mpira waleo siwashauri yanga wawelete wale wazee uwanjani watakuja kuwasababishia kisukari na presha. Kwa mpira wa leo waliocheza Simba dhdi ya APR ilyoifunga Yanga juzi bao 3...
2 Reactions
13 Replies
691 Views
1.Kuwa na makipa 2 wa kigeni ni matumizi mabaya ya fedha, Ayoub Lakred apewe Thank You 2.Kevin Kijiri ameimudu sana nafasi ya kulia, Kapombe awe mvumilivu 3.Chamou Karaboue ni beki mzuri lakini...
14 Reactions
50 Replies
3K Views
Naelewa Mashabiki wa Bongo issue kwao huwa ni matokeo tu wakipata magoli au ushindi ila Team inacheza hovyo wao ni kwishaa. Na hapa sipo kuwaambia kuwa tarehe 8 mtafungwa. Pitia saiv Youtube...
2 Reactions
9 Replies
545 Views
Hawa Sandaland waliingiaje kwenye nafasi ambapo wapo saivi kutengeneza majezi ya Taifa Stars na Simba?? Baada ya set za kwanza za Simba na T-Stars niliona niwape benefit of doubt.. yaani waliingia...
19 Reactions
65 Replies
3K Views
Washabiki tuko Siliasi sana kutokana na Simba ilivyojipaga kwenye Media msimu huu. Kwa cv ya Fadlu David ilivyo. Ni kocha flan ivi kama Julio. Maneno mengii matokeo 0. Kama uongozi haujaongea...
1 Reactions
24 Replies
957 Views
Julai 26, 2024: Bendera ya Olimpiki ilipandishwa ikiwa imegeuzwa, huku baadhi ya vituo vya televisheni vikionyesha bendera hiyo kwa mbali. Julai 27, 2024: Wanariadha wa Korea Kusini...
0 Reactions
1 Replies
797 Views
Kwema Wakuu? Hii mada kila nikipost jana iliikua inakataa. Jana siku ya Wananchi nilikua naangalia matukio mbalimbali na washikaji wa kitaa ambao tunakuaga nao pamoja siku zote kwenye michezo...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom