Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwani kuna shida gani katika kutamka DEBORA na DEBRA? Mchezaji wa Simba, Fenandez anaitwa Debora au Debra? Tamkeni inavyotakiwa majina ya watu, hizo nyingine ni shida zenu.
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Superstar kutoka nchini Nigeria Okuneye Olanrewaju, maarufu kama Bobrisky aachiwa huru baada ya kukamatwa April kwa madai ya kutumia vibaya na kukata noti za hela ya nigeria (naira) katika...
1 Reactions
9 Replies
437 Views
Faith Kipyegon's initial disqualification during in the Paris 2024 Olympics 5,000m race sparked uproar but Kenya successfully appealed In a dramatic turn of events at the Paris 2024 Olympics...
2 Reactions
0 Replies
464 Views
1. Hawa watu hawana timu, hakikisheni mnauonya uongozi wa uwanja wa Mkapa kuhusu kuwafungulia mageti ya pembeni Yanga SC jina la utani Utopolo ili waingie uwanjani, imekuwa tabia sasa Utopolo...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Mashabiki wa Yanga tunapenda kusapoti timu yenu na wengi jana kuanzia asubuhi walifika uwanjani. Wengine nyumbani wameacha familia, wengine wameaga wazazi kufanya angalau mtoko. Wengine walikuwa...
4 Reactions
14 Replies
705 Views
Baada ya jana Yanga kujaza pomoni viwanja viwili vya Mkapa na Uhuru, wale wacha mbuzi uchwara wamehama kutoka kwenye vichaka vya sold out na full house na kuja na kichaka cha time management...
17 Reactions
40 Replies
2K Views
Mpaka sasa uongozi wa Simba sc upo kimya tu na hautaki kujitokeza hadharani na kutuomba Radhi mashabiki wa mnyama lialia nikiwepo mimi mwenyewe na ndugu yangu wa damu Gentermycin. Hizi ni dharau...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Bodi ya Ligi, akina Almas Kasonso, Mzee wangu Karia na watu wako, chonde chonde kwa mustakabali wa mpira wa miguu wa nchi hii, tunaomba kwa mara nyingine mumfungie Haji Manara kwa kukosa weledi na...
1 Reactions
9 Replies
913 Views
The Olympic men's individual triathlon at Paris 2024 has been postponed after tests revealed water quality in the River Seine did not reach the required standard. The race was due to start at...
0 Reactions
1 Replies
484 Views
Yu wapi?! Haja onekana kabisa kwenye Tamasha. “Yanga Walikosea kama unaweza kumtafuta Mobetto popote alipo sasa kwanini walishindwa kumtambulisha alikamwe na kama allishindwa kufika uwanjani...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Manara ni fundi wa hizi kazi Ana kipaji cha pekee Watanganyika Kwa wivu wao wanajiinua mmoja Moja ili kumvunja moyo. Tuache wivu, Manara ndo best spokesman katika football, Ally Kamwe hawezi...
8 Reactions
43 Replies
1K Views
Mashindano ya Riadha za Mita 100 kwa upande wa Wanaume katika Michezo ya Olimpiki yameibua mjadala baada ya Noah Lyles kutangazwa Mshindi licha ya Wakimbiaji wengine kuonekana wamevuka Mstari...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna siku niliwahi kuongelea "obsession" waliyonayo viongozi wa sasa wa Yanga juu ya mambo yanayofanana na Simba, kuanzia rangi za jezi hadi wachezaji wake. Katika jambo la kushangaza sana na...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Watu wanalinganisha ubora wa haya matamasha, ambalo ndo jambo baya zaidi. Haya matamasha ni tofauti kabisa. Sisi Yanga tuna utamaduni wetu tofauti na ule wa mtani. Watu wa Yanga ni watu wa...
5 Reactions
19 Replies
778 Views
Hongereni sana Yanga SC Timu ya Wananchi kwa Tamasha la jana mlifunika. Mlijaza viwanja viwili vya Mkapa na Uhuru. Wachezaji walionyesha kandanda safi kwa asilimia 73 kwa 27. Pasi zao zilikuwa...
0 Reactions
1 Replies
269 Views
Simba walitangaza kumsajili Lameck Lawi katika kurasa zao za mitandao ya kijamii, kwanini jana hakutambulishwa kwenye tamasha la Simba day?
0 Reactions
17 Replies
784 Views
Kuvaa fulana ya Mwanasiasa ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili kwenye Tamasha la Soka la Yanga, imeshangaza wengi. Bado haifahamiki lengo hasa la kuvaa hivyo, Maana kama ni kampeni za...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Niko hapa kuthibitisha kuwa Aishi Manula, golikipa wa Simba SC hatakuwa kipa wa Simba SC msimu huu. Anapelekwa Azam FC Kwa mkopo. Mpango wa Simba SC ni Ayoub Lakred kuwa namba Moja akisaidiwa na...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Kosa lililofanyika ni kuwaweka washereheshaji watatu ambao wote sio Professional. NI WAJUAJI SANA. Kitenge, Manara na Zembwela wanachojua ni kupiga makelele tu na kutumia maguvu kuongea, yaani...
2 Reactions
7 Replies
641 Views
Pomoja na makafara yenu kunywesha majini yenu damu ya ng'ombe wa supu, jipangeni kutafuta ushindi kwa waamuzi kwa kuwa timu yenu ni ya kawaida. Mna bahati mbaya sana kwa kuwa maduka yenu...
4 Reactions
11 Replies
869 Views
Back
Top Bottom