Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baada ya Simba Day na Yanga Day kutamatika, sasa ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Makocha wa Yanga na Simba, Miguel Gamondi na Fadlu Davids wakisalimiana baada ya kukutana kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa kuzungumza na waandishi wa habari kuekea mechi ya nusu fainali ya Ngao ya...
1 Reactions
1 Replies
383 Views
Timu moja iko imara nyingine inajitafuta, naona kabisa kuna timu inaenda kudhalilishwa hiyo tar 8/08/2024, Nawashauri Tff waifute mechi hii ili ibaki mechi kati ya Azam fc na Coastal Union fc...
12 Reactions
61 Replies
2K Views
Tusichoshane nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Wenyewe. Mnajifanya mna Hela zisizo na Kazi kumbe ni Masikini tu.
0 Reactions
8 Replies
618 Views
"Nimetizama Matamasha yote ila naomba tu niseme kuwa Simba Sports Club ni NEXT LEVEL kwa Matamasha Tanzania" amesema Oscar Oscar Mchambuzi Nguli wa Michezo nchini ambaye pia ni Shabiki wa Yanga SC...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Antonio Nugaz mpemba mmoja mjanja mjanja kipindi yupo Clouds Media alikula sana posho za night allowance(per diem) Alizunguka Tanzania nzima kurekodi vivutio vya utalii, kipindi alikimudu...
21 Reactions
71 Replies
4K Views
FADLU: HAWA YANGA HAWATUZIDI CHOCHOTE. "Hakuna utofauti mkubwa wa ubora wa wachezaji baina ya Simba na Yanga lakini utofauti uliopo tu ni kwamba wao wamekaa muda mrefu na sisi tunamaingizo zaidi...
3 Reactions
9 Replies
606 Views
Nawaza na kesho watasema Manula na Ayubu kawafungisha tena. Lengo si kuwatisha juzi niliandika goli 4 mpaka saa 10am goli zimefikia 5 ft kwahio Na hapo kuna matatu au 5 bila, 4 moja au 3 mbili...
4 Reactions
9 Replies
489 Views
Sasa ni zamu Wananchi Yanga kuonyesha visu vyao. Jumapili hii Agosti 4 katika dimba la Benjamin Mkapa itakuwa ni kilele ya Wiki ya Mwananchi utambulisho wa wachezaji wa msimu wa 2024/2025...
20 Reactions
2K Replies
65K Views
Tuko vizuri na tunafuraha ya kuanza msimu mpya kwasasa tuko vizuri. Hatuwajui sana Simba na hawajacheza mechi za wazi kama sisi. Ni kweli huwa natengeneza timu kuangalia sisi zaidi na sehemu...
1 Reactions
5 Replies
483 Views
Kama.kuna mwalimu wa kiingereza atoe somo hukuu maana kesho kuna watu wanalia. Vyema wajue hata kuwatukana waachezaji wao kizunguuu
1 Reactions
26 Replies
467 Views
Kiukweli nimesikitika sana, yaani siku ya Mwananchi imegeuka kuwa siku ya watu kutangaza ndoa? Eti Hamisa mnafunga ndoa lini? Why between my interview unakuwa mpumbavu kiasi hiki? Hamissa Mobetto...
12 Reactions
47 Replies
2K Views
“….mpaka sasa tusubiri kuapishwa” - Mashabiki wa Yanga Kasulu Kigoma wafanya sherehe za ubingwa wa msimu ujao 2024/25 kabla ya kuanza kwa ligi yenyewe….. …..waeleza sababu wakisema hakuna wa...
2 Reactions
16 Replies
580 Views
Nendeni Mtandao wa Facebook wa Kapesah Sports Update mkamsikie mwana Yanga SC asiye Mnafiki alivyofunguka.
3 Reactions
8 Replies
499 Views
Katika Kiswahili sanifu, "utabiri" na "ubashiri" ni maneno mawili ambayo yana maana zinazokaribiana, lakini kuna tofauti ndogo katika muktadha wa matumizi yao, hasa linapokuja suala la michezo ya...
4 Reactions
3 Replies
974 Views
HAYA NDIO MAAAJABU 15 YA YANGA BONANZA LEO 1. Kuuza tiketi mlangoni wakati sold out 🤣 2. Kuingiza watu Bure uwanjani baada ya kuona mpaka saa 9 uwanja umedoda/ hawajajaa 3. Kushindwa kumpa...
8 Reactions
32 Replies
1K Views
https://www.mwananchi.co.tz/mw/michezo/hisia-zangu-uwanja-wa-mkapa-kujaa-saa-sita-mchana-siyo-sifa-4715548 Msomeni Edo, kaandika madini mazuri sana!huyu jamaa ni mzuri sana katika uandishi...
1 Reactions
4 Replies
510 Views
Pichani : Kutoka kushoto ni Magdalena Shauri, Gabriel Gerald Geay , Jackline Sakilu na mwisho ni Nahodha Alphonce Felix Simbu. TIMU ya Taifa ya Riadha itakayoiwakilisha Tanzania katika michezo ya...
1 Reactions
10 Replies
677 Views
Kitu kikubwa nilichokiona kwa Wananchi, kwanza wameweza kuujaza uwanja, lakini sio tu kuujaza uwanja bali mashabiki wengi wametinga uzi mpya. Tofauti sana na wazee wa ubaya ubwela uwanja...
17 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom