Baadhi ya kanuni mpya za ligi kuu Tanzania bara Kuelekea msimu wa 24|25.
◉ Mchezaji yoyote wa kigeni anayesajiliwa ligi kuu Tanzania bara atalipiwa ada maalumu ya Tsh 8 Million kwa msimu mmoja...
Hapo vip!!
Ndio jamaa huyo hapo
Hapo atambeba nani?
---
Mwamuzi Elly Sasii amechaguliwa kuchezesha mechi ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga sc dhidi ya Simba Sc itakayopigwa Agosti...
Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga SC.
Kikosi cha Yanga
YANGA YAANZA VIBAYA MAKUNDI CAF...
2nd Leg Match
CAF CHAMPION LEAGUE
QUARTER FINAL.
Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc
Time: 9:00Pm
Stadium: Loftus Versfeld Stadium
More Updates following...
Kikosi Cha Yanga Kinachoanza...
Kupangaia mtu wa mwana habari aandike nini wapi saa ngapi kuhusu Yanga hii sio sahihi, endesha mambo ki ethical usiweke emotional binafsi wewe unawakilisha taasisi unapovamia mtu ni sawa tuone kua...
Moja ya mambo yanayochosha soka la Bongo wakati mwingine ni utendaji wa Bodi ya Ligi, bodi ina mapungufu mengi sana lakini kwa vile tumeamua kuendesha mambo kishikaji tunakwenda tu.
We hadi leo...
Habari!
Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya.
Ila...
Mwambieni Ongbak akipoteza derby watu watachange 😂. Tanzania itakuwa chungu hii.
Derby anasema mechi ya kawaida. watu wameweka kila goli 100 million.
Vijana wa Msimbazi wa mwambie Ongbak...
1. Hupenda Kukinga Kote Kote (Kwetu na Kwao)
2. Hupenda mno Kulazimisha 'Derby' iwe na ama Sare (ya Magoli) au Suluhu (bila ya Magoli)
3. Huwa ni Muoga na ana Maamuzi ya Kujishtukia na Kutotaka...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo ilishindwa kutoa maamuzi ya mapitio ya hukumu iliyompa ushindi Mzee Juma Ally Magoma na wenzake na kulazimika kuiahirisha hadi siku nyingine huku pia ikielezwa...
Kwa miaka ya hivi karibuni nimekuwa na utamaduni wa kutoa utabiri wangu kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga mwanzoni mwa msimu. Kwa kiasi kikubwa nakuwaga on target.
Kwa msimu unaoenda kuanza wa...
Gamondi mjanja Sana.. ramani ya vita imefichwa kesho tarehe 8 mtu atakuja kwa matumaini.. akutane na kitu chenye ncha Kali mpaka mapepo yamtoke
Yellow national 💚💛💛💛 Cc ephen_
Wasanii watatu, Dj mmoja, Mc mmoja, Wageni wawili, Huna kombe la kuonesha, huna mchezaji wa kuringishia
kwanini shughuli isiishe mapema
Yani shughuli kama ya Ubarikio hakuna mambo mengi😂😂😂😂😂...
UPDATE: Tangu kuanza Kushiriki Olympics (1964), Tanzania ilipata Medali 2 tu za Fedha (Silver) kupitia Filbert Bayi na Suleiman Nyambui huko Moscow (1980). Leo Julai 29, 2024, Mcheza Judo Andrew...
Hela unayopatikana wanadai wanarudisha kwa jamii ila hatujawahi kushuhudia hata beseni wamepeleka zahanati
Sababu iliyopeleka mechi hii isiwe na hamasa ni "Tucheze sisi hela wapate wao? "...
Hapa ni uwazi na ukweli.
Andika maneno hayo kuungana na mashabiki wenye akili timamu ambao hatutaki utoto kwenye mpira.
Aliwahi kusema wenye akili yanga ni wawili tu tena akimaanisha, hivo...
Baada ya bonanza la Jana simba akuchapana na APR,kelele mtaani zimekuwa nyingi Sana kiasi kwamba sisi Wana yanga tunaonekana tumesajili wanaoitwa wazee,lakn napenda kuwaambia simba huu umoja wao...
Hili ni Pambano jepesi kwa Yanga. Ushindi upo wazi kabisa wala hauna ukakasi. Wa magoli mangapi ndo hatujajua. Lakini zilikuwa ziwe 3 Yanga 0 Simba. Naona mpambano bado ni mkali.
Nitaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.