Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hili lipo tokea Miaka mi 3 nyuma iliyopita ambayo Yanga katawala soka la Tanzania. Ndio kitu hata Match ya Leo kimewa adhibu Simba SC bado kila kocha anaekuja Simba hana uwezo wa kumsoma mpinzani...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Benchikha ni mtu flani anayekasirika haraka na asiyeweza kubeba maumivu, kejeli, dhihaka moyoni mwake. Ni mtu fulani asiyemvumilivu na mpenda mafanikio kwelikweli, ni wachache tumeweza kumsoma...
19 Reactions
62 Replies
4K Views
Salama jamani, leo nawakumbusha tu wazee wa ubaya ubwela ule upinzani wa uwanjani uliokuepo kati ya simba na Yanga ni kama haupo tena, yahani Kwa sasa mpinzani wa Yanga nawezakusema ni Azam na...
0 Reactions
2 Replies
263 Views
Baada ya mechi, nimesikiliza maoni mengi sana, mashabiki wengi wa Simba wanasema, Simba hii imeinalika, sawa imecheza vizuri, lakini nawahakikishia, wataendelea kucheza vizuri hivyo hivyo na bado...
11 Reactions
21 Replies
814 Views
Leo Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, wenye nchi Simba SC watafanya ule mtoko wa jezi mpya na utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi kwa msimu wa 2024/2025 Utambulisho huo...
21 Reactions
1K Replies
44K Views
Kuna baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanasema Jana yanga kacheza kawaida sana lakini awajui gamond alikuwa na mbinu Gani kwenye Ile mchezo, zifuatazo ni mbinu za gamond na sababu ya kucheza kwa...
3 Reactions
1 Replies
359 Views
Nimesikitishwa sana na uchezaji wa leo, timu haina muunganiko, haina plan, inakimbia kimbia na kuzurura bila malengo, tumefungwa goli zaidi ya tatu japo yamekataliwa. Nadhani ni muda muafaka Mo...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Yanga katengeneza nafasi nyingi za magoli karibu 3 clear kabisa, Prince dube na Azizi ki walikuwa wanamaliza mchezo mapema but Sangoma wao kafanya yake! Simba wanayo safari ndefu sana kupata...
2 Reactions
9 Replies
498 Views
Kama unaijua Link yoyote ile ambayo itaonyesha huu Mtanange niwekee hapa kwani tayari Kazi imeshakwisha Zenji.
-1 Reactions
6 Replies
438 Views
Soma Uchambuzi Mfupi na Madini ya Chambuzi lenye Ufahamu na Mpira kwa Mapana yake. Achana na hao kila siku wao hawachambui kazi kuuliza Ali kamwe yupo wapi? Mara Ubaya Ubwela imeliwa. Mara...
4 Reactions
5 Replies
530 Views
Kwa mujibu wa baadhi ya mashabiki wa Simba wamelalamikia Penalty wanayo dai kunyimwa dakika za majeruhi katika mechi ya 8/8 /2024. Ukiangalia kupitia marudio ya television Ule mpira wa kross...
6 Reactions
11 Replies
789 Views
Mpaka sasa Serbia tunaomgoza kwa advantage ya vikapu 14 Linakufa jitu huku
4 Reactions
17 Replies
706 Views
Bila ya Salamu. Mwanasimba kindakindaki na mmoja wa viongozi waandamizi wa Tawi la Simba SC katika soko la Karume ametoa tathmini nzima ya usajili wa klabu ya Simba katika dirisha hili kubwa la...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
1. Tumewaonea tu Huruma nanyi mshinde ili mfurahi 2. Tumewaachia ili msije Kuuana bure 3. Tumeshachukua letu la Kwanza kwa Mandele hivyo tulitaka nanyi mchukue lenu kwa Nyerere 4. GENTAMYCINE...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Ni kweli Simba SC wamejitahidi kubadili kikosi, na angalau wachezaji wameonesha utofauti kulinganisha na kikosi kilichopita. Lakini ukweli mchungu ni kwamba, hiki kikosi cha Simba SC hakiwezi...
1 Reactions
4 Replies
633 Views
Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Issa Hayatou wa Cameroon, amefariki dunia mjini Paris siku ya Alhamisi akiwa na umri wa miaka 77. Kulingana na Afrik-foot, kifo cha Hayatou...
0 Reactions
13 Replies
986 Views
habari zenu wazee wa kuweka mizigo Nataka nibeti nusu fainali ya leo Yanga vs Simba, timu itayofuzu kucheza fainali nichague option ipi na kampuni ipi nzuri ? nipo karibu na jengo la gal...
2 Reactions
20 Replies
829 Views
Simba ya miaka hii miwili ya nyuma ilisuffer kutokana na kukosa wachezaji wanaoweza mpira wa kasi. Tulikuwa na kina Chama wanaopoozesha mashambulizi, tulikuwa na kina Saido wanaopoteza mipira...
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Hapo vipi! Yanga ya sasa ni mbovu kwa Simba SC. https://www.jamiiforums.com/threads/yanga-sc-vs-simba-sc-semi-final-community-shield-benjamin-mkapa-stadium-08-08-2024.2243315/ Inawachezaji...
6 Reactions
19 Replies
880 Views
Naona Simba wameamua kutengeneza timu watakayoipitisha njia ya Clement Mzinze. Kila mashabiki wa Yanga walipojaribu kumlaumu Mzinze, utetezi uliotumika kuwapooza mashabiki hao ni kwamba bado...
0 Reactions
1 Replies
362 Views
Back
Top Bottom