BAADA ukimya wa muda mrefu kuhusu lini timu ya Taifa ya Riadha itaingia kambini kuanza maandalizi ya mashindano ya Olimpiki ambazo zitafanyika mwezi Julai huko Paris Ufaransa hatimae Shirikisho la...
Wanetu mjue kesho asubuhi mnatakiwa kuwahi Lupaso kufanya usafi kwa sababu Jumapili tunataka kupigi Ndiki na Wauza ukwaju, japo na nyie mtausunda kidogo Uwanja mkicheza Fainali yenu ya LAWI CUP...
Ndugu zangu wanaJamiiForum
Nakusalimuni huko huko mlipo.
Nijikite kwenye hoja
Hii wizara ya Utamaduni na michezo sijui inatuchukuliaje watanzania.
Nimesikitishwa sanaa na hawa wawakikishi wa...
Kama coastal iliweza kupata goli mbili kwenye mechi na Azam basi kesho tusishangae kuona Simba ikifungwa tena na wana mangushi.
Wazee wa mikeka muuweni Simba, muuweni Azam mtakuja kunishukuru...
Ni vema Sasa kukawa na tuzo ya seti mbovu ya Waamuzi.
Heri Sasii
Mohamed Mkono
Kassimu Mpanga
Wanasitahili kupewa zawadi hii maana jana wameharibu Radha ya Mechi Kwa maamuzi yasiyozingatia...
Mimi nikiwa mdau mkubwa wa riadha nimeona niandike huu uzi kupinga comments za kisiasa zinazotolewa na watu mbalimbali kuhusu wanariadha wa Tanzania walioshiriki Olympic Marathon 2024 za Paris...
Mtangazaji Mwijaku alitoa ahadi kuwa Yanga Sc ikimfunga Simba basi atampa mke wake Ali Kamwe ambaye ni Msemaji wa Yanga
Vipi sasa kashampeleka kwa Ali Kamwe au Kamwe amfuate mwenyewe?
Ubaya...
Kama inavojieleza hapo juu, waamuzi wa Tanzania kuna muda wanashindwa kwenda na matukio muhimu. Kijili aliwin Mpira kabla ya Ibrahim Baka, na aliguswa kutokea nyuma swala ambalo ni clear penalty...
Mzee Magoma ameshindwa kesi thidi ya Yanga CS ,hukumu imetoka leo 9 August katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu ambapo Magoma ametakiwa kuilipa fidia Yanga . Amezungumza hayo meneja mawasiliano...
Baada ya Magoma kuangukia pua leo ni pigo la pili baada ya kipigo cha mwizi cha jana kutoka kwa Simba ni maumivu juu ya maumivu hakimu angesubiria angalau mpaka jumatatu ndo atoe huku kidogo...
Michezo ya Olympic inaendelea,Washindi katika kila michezo wanazidi patikana...
Angalia orodha ya nchi za Afrika zilizopata medali mpaka....
Kenya - Medali 6,Riadha
Afrika Kusini -...
Aliyesikiliza kesi ya akina magomba alikuwa na uhakika gani kuwa sahihi za waliokuwa wanawakilishwa kwenye kesi zilikuwa hasijaghuhiwa?
Magoma anasema kuwa hukumu ya kesi alikuwanayo yeye...
Yaani Shabaan Juma akiwa Yanga walimwita "Waziri wa maji" alipohama tu wakaacha kumwita.
Leo hii lile jina la "Triple C Mwamba wa Lusaka" washaacha kumwita tena Cloutus Chama.
Imekuwa kama ni...
Wasalaam wandugu,
Kuna kitu naona kina puuzwa siku kadiri zinavyokwenda. Ila huenda ikaja kuwa hatari zaidi mbeleni endapo zitaendelea kupuuzwa.
Ni kweli tuna mahaba na vyama vya siasa na...
Nimeangalia tena marudio ya ile gemu ya jana Simba vs Yanga, hakyamungu msimu huu kuna fala atakula 10, ni suala la muda tu.
Mm uzuri wake sio mgeni mechi za Simba vs Yanga, nimeanza kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.