Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga unatarajia kupigwa Oktoba 19 katika uwanja wa KMC comlex uliopo mwenge Dar es salaam, Imetolewa katika ratiba ya bodi ya ligi Tanzania (TPLB) leo...
0 Reactions
11 Replies
876 Views
Mkeka wako unampa nani kati ya Azam na Coastal? Timu ya AzamFC imefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii kwa kuifunga #CoastalUnion kwa magoli 4-2 katika Nusu Fainali ilivyochezwa Uwanja wa...
5 Reactions
122 Replies
5K Views
Msafara mrefu wa Magari ukiwa umesheheni Mashehe na Wapiga Dufu umeanza safari Kuelekea nyumbani kwa Mwijaku ili Kumchukua Mke wake kama alivyoahidi yeye Mwenyewe. Mashehe wengi wameonekana na...
11 Reactions
25 Replies
1K Views
Nipo kwangu nasikia mizumari, mafujo, mazogo ya vijana mitaani. nilipoulizia nikaambiwa kuna simba na Yanga na Yanga wamepata bao 1. chakushangaza wapo katika TV na wapo maskani. Ukiwauliza...
9 Reactions
35 Replies
963 Views
Kwa mara ya kwanza ndani ya misimu mitatu niliiona Simba Ile iliyobeba ubingwa wa ligi mara nne mfululizo. Mbali na Simba kupoteza jana lakini nilishuhudia Simba ya hatari inayokuja hapo mbele...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Sakata la Juma Ally Magoma na Klabu ya Yanga linaendelea, ambapo leo saa 9 ( tarehe 7 August, 2024 ) Alasiri, hukumu ya kesi ya mapitio ya Bodi ya wadhamini wa Yanga dhidi ya Juma Ally Magoma na...
1 Reactions
18 Replies
695 Views
Bila bila Rafiki yangu mkubwa JF hakuna Dawa yoyote ile ya Presha unayoifahamu kwani naona sasa inapanda sana.
0 Reactions
9 Replies
653 Views
Yanga atafunga goli 1 na Simba atafunga magoli mawili. Yanga 1 -2 Simba.
15 Reactions
89 Replies
2K Views
Leo match kati ya Simba na Yanga Watu wamekuwa wakitoa ahadi mbalimbali ambazo Kwa sheria zetu ni kinyume kufanya lakini wengine wameahidi Kwa maandishi na wamesaini kabisa Mfano Mwijaki ameahidi...
5 Reactions
24 Replies
864 Views
Ahmed Ally kasema atasherehekea kufungwa goli Moja na Yanga Kwani Makolo wengi hawakuamini na walizani watapigwa goli heavyweight. Je unadhani Ahmed Ally yupo sahihi???
3 Reactions
7 Replies
434 Views
Michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika na ile ya Shirikisho ni michuano miwili tofauti. Klabu Bingwa ni michuano mikubwa zaidi. Tanzania itawakilishwa na Yanga na Azam kwenye michuano hiyo mwaka...
6 Reactions
13 Replies
736 Views
Katika mchezo wa jana wa ngao ya jamii kati ya Yanga SC na Simba SC wakati timu zote zina wasili uwanjani. Yanga waliwasili na Wachezaji wa nne pekee kwenye basi lao kubwa na wachezaji wengine na...
2 Reactions
8 Replies
686 Views
Rais wa Shirikisho la Kimataifa ya Soka (FIFA), Gianni Infantino ametuma salamu za rambirambi kwa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kutokana na kifo cha aliyekuwa Rais wa shirikiho hilo la Afrika...
2 Reactions
1 Replies
355 Views
Nikiwa nimetulia vyema siku ya Jana nikiangalia mpira nikiwa peke yangu. Nimebaini timu ya Simba imesajili haswa,ni vitu vidogo tu ambavyo vimewafanya wakose ushindi. 1.Presha ya kucheza kwa...
9 Reactions
40 Replies
2K Views
Japo Mimi ni mchambuzi tu na sina timu ila naomba kuungana na mchambuzi mwenzangu nguli mtaalam wa soka ndugu Labani og kuwa leo Yanga atashinda kirahisi mbele ya kikosi dhaifu cha makolo. Yanga...
11 Reactions
34 Replies
1K Views
Ikienda kinyume nipigwe ban Soma Pia: FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Hii nI black and white. Simba Jana waliokolewa na marefa na kukosa umakini wa forward za Yanga. Jana Dube alienda kushangilia kabla goli halijaiingia. Angekuwa mtulivu angemaliza mchezo. Goli LA...
3 Reactions
10 Replies
433 Views
Kuwazungumzia Yanga ni kujipotezea mda wale wao hawashuki na hakuna mtu ana hofu juu ya hilo. Issue ipo kwa Simba, For real Jana Mtani umeupiga sana japo ilikua tu lazima Ufe na nilisema mi jana...
1 Reactions
0 Replies
228 Views
Kama sio Alphonce Simbu ni Gabriel Geay ambao kesho Agosti 10 watakuwa katikati ya miamba ya dunia ya mbio ndefu kusaka medali ya Olimpiki msimu huu. Nyota hao wa mbio ndefu nchini ndiyo tegemeo...
0 Reactions
1 Replies
205 Views
Bandiko hili ni maalum kwa mashabiki wa soka na sio mashabiki fashion na mihemko walioletwa na kina Haji manara, aziz k na hamisa huko instagram, Betpawa and the like. kwa hizi mechi mbili...
5 Reactions
13 Replies
387 Views
Back
Top Bottom