Yanga washukuru sana kuwa Simba ni wastaarabu.
Ukiangalia idadi na nafasi nyeti walizopo watu wa Simba ndani ya Yanga, kuanzia mwekezaji/mdhamini, baadhi ya wachezaji waliokuwa na mizizi ndani...
Baada ya kuangalia michezo kadhaa ya Simba bila Nahodha John Bocco Simba imeonesha udhaifu mkubwa Sana. Katika mchezo wa leo Simba wamecheza kwa hofu kubwa huku wakipoteza pasi nyingi mguuni...
Mchambuzi wa mpira wa Clouds Fm, Shaffih Dauda “Digala” anasema kuwa Simba imenyimwa penati dakika ya mwisho baada ya Boka wa Yanga kumchezea madhambi Kijili ndani ya Box lakini mwamuzi Sasii...
Hawa jamaa kila Olympics wanazoa medali balaa.
Wamepeleka wanamichezo 600+. Hadi sasa wana medali 101. China ndo inawafuatia.
Hakwenda kiongozi yoyote wa serikali zaidi ya makocha wa kila mchezo...
Kuna mashabiki wa timu moja ambayo timu nzima ina mashabiki wawili tu wenye akili, kila siku Wanahoji/ kuuliza swali lisilo na mantiki.
Kila siku wanauliza kama Rais wa Heshima Simba Mohamed...
Hakuna shaka kabisa sasa Timu ya wananchi Dar es Salaam Young Africans inaenda kuwa timu ya vigogo na masuperstars wa Africa...a.k.a African galaticos.
Kila la kheri Engeneer Hersi na GSM.
Na sharti walipopewa kama sehemu ya Kujaribu tena Nyota ili angalau wapone na Kipigo ni kuanza na 'Kufuli la Morogoro' Lilorogwa Msimu mzima, ila wakimpanga tu ambaye ndiyo Wanamuani 'Kufuli Mali'...
Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho dhidi ya Yanga ni wa kawaida na hana presha nao na yupo tayari kuibuka na ushindi. Yapi maoni yako?
Kitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki...
Picha za Ali Kamwe, msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, zimeibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana amevaa Fulana ya rangi nyeupe yenye nembo ya SportPesa, ambao ni...
Timu imemaliza ya tatu ...hawakupaswa kabisa kucheza ngao ya jamii...ngapi ya jamii siku zote ni wa kwanza na WA pili...
Kulazimisha derby mapema wakati Simba wamesajili wapya Wengi na wanahitaji...
Kama picha inavyoonyesha hapa chini,tunatambua kwasasa Timu hizi mbili Simba na Yanga zina wadhamini wao tofauti kabisa.Simba kwasasa inadhaniwa na M-bet na Yanga inadhaniwa na Sportpesa.
Kitendo...
Mchezaji yeyote wa Kigeni anayesajiliwa katika Ligi Kuu atalipiwa ada maalum ya Sh. 8,000,000 (milioni nane) kwa msimu ili usajili wake uweze kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza.
Kwa wacheaji 12...
Haya Wababe wa Jangwani na Msimbazi Kariakoo leo wanazichapa nyasi za kwa Mkapa. Kila timu ina wachezaji matata, usajili mpya, jezi mpya na kila kitu ila matokeo yataamua nani anaondoka na...
Tutofautishe kati ya uchawi, dawa na sumu, Uchawi unaadhili akili TU ya mtu (psychic) lakini dawa na sumu vinaathili mwili na akili (psycho-soma).
Kitu chochote kama vile maneno, paka, ndege...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.