Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mwishoni mwa msimu wa ligi uliopita tuliambiwa Sasa waamuzi watasaidiwa na teknolojia saidizi ya Uamzi (VAR), lakini Jana orodha ya waamuzi wa Mechi zote 2 imetoka na hatuoni wataalamu VARs. Je...
0 Reactions
3 Replies
320 Views
Kwa nilichokipata tu kutoka somewhere huenda kuna wa Kuzimia kuwa Wengi au Kufa na Kuugua vibaya Keshokutwa.
0 Reactions
6 Replies
534 Views
Ukiangalia Simba day na Yanga day Kwa umakini sana. Utagundua Yanga day watu wengi sana walivaa Jezi mpya kuliko Simba day, hii inamanisha Yanga Msimu huu wamepiga Vibaya mnoo kwenye Soko la...
3 Reactions
5 Replies
394 Views
Sina taarifa za Marais wa nyuma kuwa walikuwa wanashabikia timu ipi, ila najua Nyerere alikuwa Yanga, Kikwete alikuwa Yanga, Magufuli na Samia ni Simba. Ila usingewasikia wakitamka kuwa upande...
4 Reactions
75 Replies
2K Views
Kudadadeki unachezea Simba SC Wewe wakiamua lao. Si alikuwa anadhania tunatania? Kabipu Watu wamempigia.
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Kumbe Mzee magoma alikuwa sawa, kuna watu ndio wamejipa umiliki wa timu yetu, wanaamua vyenye wanapenda wao. Hyu manara baada ya kufukuzwa huko Simba ndio alikuja Yanga na leo anajifanya anaijua...
7 Reactions
54 Replies
2K Views
For the upcoming match between Simba SC (Tanzania) and APR (Rwanda) on August 3, 2024, let's consider the current form, previous performances, and other relevant factors to make a predictive...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Manara abused yanga fans and their leaders . Today is out here , claiming he is more of a yanga fan than the rest of Yanga fans. Yanga fans are taken as fools . In day light
7 Reactions
71 Replies
2K Views
[emoji599] KUMRADHI WADAU WA SOKA..!! Picha zote uzionazo hapa ni mali ya Tanzania na si tukio lingine zaidi ya sikukuu moja kubwa ya kimichezo nchini, 'SIKU YA MWANANCHI' inaingia kwenye rekodi...
14 Reactions
141 Replies
3K Views
Tulipinga wakati ule fainali ya shirikisho kupelekwa Unguja, kwa vile tulijua ule ni mwanzo wa mambo yanayokuja. Kisoka Zanzibar ni Nchi nyingine, hakuna sababu yoyote ya Maana au ya Kijinga ya...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Asanteni Simba SC sasa sina deni tena nanyi baada ya kumalizana na mshambuliaji hatari na jibu tosha la ushambuliaji Victorien Adebayor Yuko njiani kuja nchini Tanzania kumalizana na Tajiri...
15 Reactions
37 Replies
3K Views
Kama umejaaliwa kipaji na ukawa na taaluma ya uchambuzi najua utakuwa umeliona hili. Baada ya Simba na Yanga kucheza mechi zao tumeona ubora na upungufu wa Kila timu according to their level...
7 Reactions
44 Replies
1K Views
Kama unajijua haufahamu soka vizuri usipoteze muda kusoma hili andiko. Tafuta kazi zingine ukafanye. Leo naandika na kumzungumzia Mzize kwa ajili ya “Watu wa mpira” Nawasikia mtaani huko mnasema...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa haya matukio ya kuambatanisha shughuli za club na maisha ya nje na binafsi ya wachezaji na watu wa ndani ya Yanga. Huu upuuzi nimeona umeletwa kwa kasi sana. Yanga ni Club inayojengwa kwa kwa...
9 Reactions
15 Replies
741 Views
Ilikuwa Kabla ya Kombe la Dunia Mwaka 2002 kule Korea na Japan, pale Del Piero alipokuwa akivaa Jezi namba 10 huku Totti akiwa anavaa namba 20. Siku moja baada ya mazoezi ya nguvu huku kila...
1 Reactions
5 Replies
590 Views
Huyu mzee hizi siku embu kaangalieni wapendwa sio wa kumchezea. Alimwambia kitu Ali Mamwe akafutika kabisa. Jana kahojiwa kasema dogo kurujuan imempitia wasubiri tarehe 8 Agosti, 2024. Dah haya...
2 Reactions
11 Replies
636 Views
1.Camara 2.Kijiri 3.Valentine 4.Che Malone 5.Chamou 6.Okajepha 7.Mutale 8.Awesu Awesu 9.Mukwala 10.Fernandez 11.Kibbu Denis
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Shalom Naona Yanga yafaa wapewe ubatizo mpya wa kutojali Muda na Ratiba, "BANA YANGWINYO" inawafaa hawa Mautopolo Bora ngumi tu mje kwa wingi msikimbie mawe. Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
0 Reactions
7 Replies
362 Views
I just saw a goal.com South Africa posting Manara words . Manara Ameshusha brand ya Yanga na fan base South Africa in a single post. Hersi katengeneza kitu kikubwa then kaajili mtu kukibomoa ...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
HAYA NDIO MAAAJABU 15 YA YANGA BONANZA TAREHE 4 AUG 2024 1.Kuuza tiketi mlangoni wakati sold out 🤣 2. Kuingiza watu Bure uwanjani baada ya kuona mpaka saa 9 uwanja umedoda/ hawajajaa 3...
4 Reactions
17 Replies
893 Views
Back
Top Bottom