Kana kwamba ajaridhika na uchakachuaji waliofanya wakishirikiana na wenzao wa wizarana na tff
mh huyu amefurahia percent aliepewa na majana ametangaza atapigia debe mashindano haya next time yawe...
Siku chache zilizopita kuna taarifa tulipata kuhusu wachezaji wa Red Sea walioingia mitini badala ya kurudi kwao baada ya kuondolewa kwenye mashindano hatua ya robo fainali,ila mwisho wa siku...
HALI ndani ya klabu ya Simba sasa imekuwa ya mtafutano, baada ya wachezaji Mussa Mgosi na Mohammed Banka kuenguliwa kwenye usajili kwa ajili ya Ligi Kuu msimu ujao.
Hatua hiyo imekuja siku...
Kwa maoni yangu mchezaji huyu wa yanga na timu ya Taifa anaweza kuwa nahodha bora kabisa kati ya waliowahi kutokea katika soka la Tanzania.
Mwenye wasifu wa mchezaji huyu atuwekee hapa ikiwa ni...
Imesikika sauti ya Boniface Wambura afisa habari TFF, kwamba anawaomba radhi kwa kitendo cha umeme kukatika wakati wa utoaji wa zawadi, nina wasiwasi na huu msamaha. Lakini pia Sendeu Luis amewapa...
‪Congo - Pepe Kalle (RIP) - Young Africa‬‏ - YouTube
http://youtu.be/Te1oxYJNjp4
Tujikumbushe marehemu Pepe Kalle alituthibitisha sisi mabingwa wa Tanzania na Afrika mashariki...
Takliban mwez sasa man city walipewa na mmiliki wao kama tilion 1 za usajili, je? unafikili wakisajili nakuunda kikosi kilicho bola misim hi 2 watavunja utawala wa man utd wakuchukua vikombe?
Nikiwa kama mtaalamu, mchambuzi na mwangalizi wa soka la kimataifa (International Observer), kiujumla huwa sitoi tathmini ya soka letu la kibongo kwa sababu kadhaa, ila wakati huu nimewiwa...
CECAFA KAGAME CUP 201125th June to 9th July 2011 in TanzaniaTeam Fixture list
GROUP A SIMBA(TZ), VITAL O(BUR), ETINCELLES (RWA), OCEAN BOYS (ZNZ),
GROUP B YANGA(TZ), EL...
Thirteen members of an Eritrean football team have failed to return home after a regional tournament in Tanzania, officials say.
After Red Sea FC lost the Cecafa championship semi-final on...
Football Stars Banned From Getting Tattoos
German side Werder Bremen have banned their players from getting tattoos.
But the club are not trying to stem the tide of Bundesliga body art: they're...
World Football - Lie Detectors Used To Root Out Korea Cheats
K-League authorities will introduce polygraph testing as part of a drive to drag South Korea's professional football league out of...
Uongozi mzima wa CECAFA ulioketi jioni hii ukishirikisha vilabu vyote vilivyo shiriki michuano ya cecafa 2011 wamekubaliana kwa kauli moja chini ya usimamizi wa mahakama ya michezo ya dunia...
Inasikitisha sana, hawa makocha wetu walioalikwa kuchambua soka hususan STAR TV! Walikuwa wanaboa vibaya,hawakuwa wachambuzi wa soka bali UNAZI! walikuwa wanashabkia wachezaji na kuwazodoa waalimu...
Sky and ESPN announce live Premier League fixtures for 2011-12
Live games confirmed for first four months of season
Opening round will feature last season's top four...
Ama kweli leo nimeamini TANESCO hamuna utani na mtu, yaan mpira ulipo kwisha tuuu mambo yote KWISHINEI
hivi kwanini msingekata baada ya Goli tu kuingia...?????
au kipindi cha pili kilipoanza...
Celtic Football Club is delighted to announce they have agreed a fee with Germinal Beerschot for the transfer of Kenyan International midfielder Victor Wanyama, who has also agreed personal terms...
Nimesikia eti Yanga wanaenda kufanyia sherehe za ubingwa wao katika hiyo Pub inaitwa SIMBA KAPAKATWA. Yeyote anayejua hii Pub ilipo atujuze tukajimwage. Ipi nzuri KUBEBWA KAMA YANGA AU KUPAKATWA...
Wakati umati umejazana uwanja wa taifa kusubiri mpambano wa simba na yanga habari zilizotufikia punde zinasema
klabu ya simba imetangaza kutoingiza timu ile iliokuwa ikicheza na kuapa kuchezesha...
Pengine jana nilikuwa mmoja wa waliokuwa na furaha na kupata nafasi ya kuangalia mechi ya simba na yanga. Ilinichukua kuamini kweli tumeshinda Mungu mkubwa.
Najua unajiulizaje asamoah amekuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.