Here you can discuss the richest sports clubs in the world.
StadiumZone - Home
has a list with the top 400 richest sports clubs in the world, the only African
clubs are Al-Ahly, Zamalek, Kaizer...
Hawa jamaa ndio wamehost haya mashindano lakini jana wametolewa na Uruguay, tena walikua Full Squad! Football sio mchezo.
Copa America: Argentina dumped out Uruguay progress - ESPN Soccernet
checki peanati ya jamaa, ila kocha hakuipenda na akaamua kumtoa mchezaji na aksema "... he would be disciplined for the "disrespectful act." hii kali
UAE's Awana Diab attempts insane penalty...
Sir Alex Ferguson is preparing to send Manchester United on a Champions League revenge mission. Throughout the summer, Ferguson has been forced to endure analysis of May's final, when Barcelona...
Habari zenuu wana jamii mie mgeni katika hii thread ya sports na matumaini paia hiki nicholeta hapa ni geni anyway watu tunapenda sana soccer
but in some way or another hii kitu ni very...
Kuna nyepesi nyepesi kibao zimeenea kuwa simba inamtaka Jerrison tegete,
Msemaji wa Yanga amekanusha taarifa hizo ila simba wamekaa kimya..kuna msemo usemao ukiona kimya ujue kweli..Je simba...
Mchezo wa soka ni mchezo wa ajabu sana , maajabu yake ndio yanayoleta msisimko na kuufanya kuwa mchezo unaofuatiliwa na mshabiki wengi kuliko mchezo wowote ule.
Gumzo kubwa kwenye ulimwengu...
Hebu wadau nisaidieni,
Inapofikia suala la kuuzwa kwa mchezaji,ni nani mwenye uamuzi wa mwisho??ni mchezaji binafsi au ni timu inayommiliki?
Na ikitokea utata katika pande mbili inakuaje!!upande...
Brazil yatolewa out na paraguay,yatolewa kwa penalt 2-0,yakosa penalti zote nne mfululizo.Kwa upande mwingine Japan(the barca of women),ndo mabingwa wapya baada ya kuizaba USA kwa mikwaju 3-1 ya...
Klabu ya soka ya Abajalo ngilimaa ambayo ndio yenye mafanikio kuliko klabu yoyote ukanda wa Sinza, Ubungo, Mwenge na maeneo ya jirani wameweza kuwapa rrraha mashabiki wao na kukumbuka mafanikio ya...
Mshambuliaji wa Simba Mgosi ambaye ameambiwa wazi kiwango chake kimeshuka na hahitajiki kwenye kikosi cha kocha wa Simba Mganda Moses Basena, ametoa masharti mazito kwa timu inayomuwania ya Villa...
Mshambuliaji mahiri wa zamani wa Yanga na pia Taifa stars leo amesaini kuichezea Azam FC kuanzia msimu ujao wa 2010/2011 na atakuwa akilipwa mshahara wa 1.2m kwa mwezi na ada yake ya uhamisho ni...
Man Utd top Forbes' rich listJuly 15, 2011
Email
Print
By ESPNsoccernet staff
Manchester United have been named the world's most valuable sports team, according to Forbes magazine's annual top...
Shalom!
Kwenye exclusive interview na gazeti la "Burudani" mapema wiki hii, Nicholaus Musonye katibu mkuu wa CECAFA amekiri kuwa Yanga na Simba ni timu zenye wapenzi wengi sana hapa nchini...
Club kubwa za Yanga na simba ni club zenye wachama wengi nchini.
kwa bahati yanga sasa inafadhiliwa na mbunge alienguka katika kura za maoni 2000 Jimbo la Kigamboni. baada ya kuanguka huko Yussuf...
Katika hali inayoashiri sasa kila mtu atafune chake mapema nikiwa mmoja wa waliochangia million kadhaa zilizotangazwa
hapo majuzi kwa kweli naona sasa tff inaturudisha fat..kama mkumbakavyo...
By In2EastAfrica - Sat Jul 09, 8:44 pm
CECAFA Secretary General Nicholas Musonye
The Council of East and Central African Football Associations (CECAFA) has said it is looking into the...
Hii jamaa wa Emirates wataipenda lakini Old Trafford mmmhhh!!!!
Barclays Premier League table
Thursday, 23 June 2011 12:39 UK
P
GD
PTS
1
Arsenal
2
Aston Villa
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.