UEFA announces that the 2012-15 free-to-air media rights for the UEFA Champions League and UEFA Europa League in sub-Saharan Africa have been awarded to Star Times.
Source: Star Times awarded...
hey wadau wa michezo
Je Tanzania tuna mikakati yeyote kwenye olympic za london 2012. I mean kuna kilichobadilika baada ya olymic za bejing
Michezo gani tunatarajia kushiriki?
wananamichezo...
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Simba na mfanyakazi wa Shirika la Bima ya Taifa (NIC), Jimmy David Ngonya amefariki asubuhi hii. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN na pia...
Tanzania itaanza kuitafuta nafasi yakucheza Fainali za World cup 2014 kwakucheza na Chad tukipita hapo tutaingia kwenye kundi litakalo zijumuisha:SUDAN,MORROCO,GAMBIA,IVORYCOAST.kazi kwa Paulsen.
Jumatano Sheikh Mansour amefikia kiwango cha £400million na kuweka record ya Club za uingeleza baada ya kumnunua mchezaji mahiri Sergio Aguero wa Algentina kwa pound 38million. sawa na 152billion...
Kama umesikia clouds fm leo kuna kijana wetu wamesajiliwa dc motema pembe amekuwa
akiomba watu ovyo kwa simu namba za viongozi wa tff wamsaidie itumwe itc
wakati akiulizwa hilo mgosi anasema...
Katika mechi ya kirafiki iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu na wapenzi wa soka duniani ,manchester imeibuka na ushindi wa 2-1,mabao ya man utd yamefungwa na LUIS NANI,na OWEN,na bao la barca...
Mashabiki wa simba wameanza kula kuku baada ya kusikia habari kwamba yule mchezaji kipenzi wa yanga aliewasumbua sana sana amechomoa kurudi yanga...si mwingine ni hamis kiiza..habari zinasema...
Ilikuwa ni katika mechi kati ya Santos na Flamengo. Ronaldinho alifunga magoli 3. Ila kinachokumbukwa zaidi ni goli hili la Neymar.
VIDEO: Brazilian will cost gazillions after wonder goal - The...
Ingawa ni mchezo wa kirafiki mashabilki wengi wanahamu ya kusubiri matokeo ya mechi ya barca na man u itakayopigwa marekani mida ya saa saba leo usiku
kwa wapenzi wenzangu wa barca msihofu...
ILi kucheza world cup tunahitaji kocha mwenye kufundisha timu kucheza hadhai ya ligi kuu za ulaya magharibi. Huwezi kucheza world cup ikiwa kocha wako ndiyo wa kufundisha timu daraja la nne. Ivory...
Kwa walioa kuwa jiran na mh wetu ambae kama si mkono wa mungu leo hiia ngekuwa anaitwa mh mwakalebela
najiuliza huyu bwana mechi ya simba na yanga ilipoisha wakahesabu ngawila siku inayofwata...
Ukiniuliza who is my Best player ambaye nimefanikiwa kumuona nitakujibu Rivaldo, Enzi za kina pele sikufanikiwa kuona match zake .
ukiniuliza who is my best HIT MAN! Moja moja bila kufikiria...
Hii ilikuwa ni mwezi wa April, 2011
Hapo chini ndivyo walivyomuelezea,
MF Nizar Khalfan (Vancouver Whitecaps): They dont come more dynamic than the Tanzanian, who has the pace to be dangerous...
Kwa mliosikia vipindi vya michezo mchezo wa hisani kati ya simba an yanga wanadai mapato yatakayopatikana 10,per yatasaidia waliaothirika na cancer ya matiti..kama mnakumbuka kuna mechi kama hii...
Jamani, Jamani
Gazeti la Mwananchi la leo July 22, 2011 limeripoti kuitwa kwa Gaudance Mwaikimba na Haruna Moshi "Boban" kwenye timu ya U - 23.
Hivi kweli hii mijamaa mi under 23???
Hatimaye kocha wa manchester united,amefanikisha ule mpango wake wa kupata mechi ya kirafiki na barcelona itakayopigwa tarehe 30,mwezi huu.ili adhihilishe kuwa siku ile aliotewa tu!yasije yakawa...
Kwa wale wanajamvi wenzangu ambao ni wakongwe kidogo na wafuatiliaji wa soka, bila shaka tutakua tunakumbuka kwamba kulikua na timu ilikua inajulikana zaidi kama kiboko ya vigogo. Nayo ni Reli ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.