kocha jose mourinho huenda akafungiwa mechi 12 kutokana na kitendo chake cha utovu wa nidhamu ktk ile mechi ya super cup dhidi ya barcelona,ili iwe fundisho na ndio chanzo cha wachezaji wake...
MILAN (AP) - A representative for Russian club Anzhi Makhachkala has announced a deal with Inter Milan for Samuel Eto'o that should make the Cameroon striker the highest paid footballer in the...
Licha ya jana kuchapwa na Simba SC, nawapa saaaana hongera maana wameingia tena kwenye rekodi; jana Mabingwa wa Kagame ambao impliedly in Mabingwa wa Afrika Mashariki, Sudan na Pembe ya Africa...
According to Newspaper, the Ravens have agreed to terms with offensive tackle Mark LeVoir. Mark LeVoir will wear Chad Ochocinco Patriots Jersey and play for Baltimore Ravens in 2011. Aaron Wilson...
This is special to föotball Nazists to air your views on man u squard vs arsenal who is going to win on sunday game in OT ? as archy enemy clubs in english premiear league!
Atleast alipokuwepo maximo impact ilionekana,tukapanda hadi nafasi ya 89,sasa ndo tunazidi kuporomoka siku hadi siku,kwanin tusifundishwe na wazawa kwa kiswahili labda lugha ndo tatizo,hebu...
Jamani hivi kiss fm kipi kimewashinda?
Yaani mkitangaza mpira hakuna kinachosikika zaidi ya makelele ya mashabiki,mvula na wewe unaboar kwani si ukae mahali ambapo hakuna mashabiki, jana...
La Liga strike to go ahead as talks collapse in Spain​
The opening Primera and Segunda matches have been postponedPlayers in Spain's top two divisions will strike on the first day of the...
Michezo ya Universaide inafanyika huko China. Kuna habari za kuchekesha sana kuhusu ushiriki wa timu.
Tanzania maofisa watatu, wachezaji wawili
Kenya maofisa watatu, wachezaji 19
Uganda...
Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA) limeruhusu Shirikisho la Mpira wa Miguu Jamhuri ya Afrika ya Kati kutoa Hati ya Uhamisho ya Kimataifa (ITC) kwa mchezaji Gervais Anold Kago...
Wakuu, nilikuwa napitia mtandao wa espnsoccernet nikakutana na hii habari. Mwandishi amezungumzia issue ya mikel obi, timu ya cameroon na mechi ya yanga na simba. Kumbe kikwete alikuwepo uwanjani...
kocha wa real madrid jose amekili kuwa barca ni noma! baada ya kupata kipigo cha mabao 3-2,ktk mechi ya marudiano ya super cup.Japo madrid waliendeleza ule ubabe wao wa kiatu mtu;MESI bado...
Mtanange wa Super Cup baina ya Barca na Real Madrid umeanza.
Dakika ya 13 Real Madrid wanapata goli kupitia Ozil.
Taarifa zitaendelea kila baada ya tukio muhimu uwanjani.
Wana Yanga wenzangu, nafikiri umefika wakati sasa wa kubadili rangi ya uzi wetu ili uendane na wakati bila kubagua utashi wa mtu.
Nimeamua kutoa dukuduku langu hilo kwani inamuwia vigumu sana...
Mechi ya kuwania nafasi ya kucheza CAN 2012 kati ya Taifa star na Algeria imehamishiwa kwenye uwanja wa CCM kirumba baada ya Wizara kuzuia usitumike kwa michezo ili ufanyiwe marekebisho kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.