Masaa machache tangu ajiunge rasmi na Barcelona, Cesc Fabregas amewaomba radhi mashabiki wa klabu ya Arsenal kwa kutowaambia lolote juu ya uhamisho wake kwenda Barcelona huku akiahaidi kuwapa...
The Champions League came to its thrilling conclusion on Saturday night with Barcelona defeating Manchester United 3-1 and now it's time to honour the top performers in Europe's top competition...
Simba ina kila sababu ya kutopeleka timu uwanjani siku ya jtano na kuna uwezekano wa kujiondoa kwenye ligi kuu endapo TFF itashikiria msimamo wake ya kwamba Gervas Kago hajatimiza masharti ya...
Wapendwa naomba msaada wenu.
Naomba kujua wapi hapa Dar wanauza kanda/CD za mechi mbalimbali za futiboli zilizorekodiwa??
Kwa mfano:
Yanga v Simba
Real Madrid v Barca
nk.
Mabingwa wa ligi kuu ya England Manchester United wametajwa na jarida la FORBES kuwa ndio klabu ya michezo yenye thamani kubwa zaidi duniani.
The Red Devils wanatajwa kuwa na thamani paundi...
man utd yaanza ligi kwa ushindi kiduchu kwa kuifunga w-brom,bao 2-1 ila lile jinamizi la golikipa bao linaendelea kwa michomo hatari anatoa! Ile ya kipuuzi ndio anafungwa!ina maana inawezekana ile...
Hebu bofya usome halafu utoe maoni yako, na siyo mambo ya waandishi wetu ya "alisema..........................."
BBC Sport - The magic of Cesc Fabregas
Shame on you boniface ,tenga and your company
kwa bila aibu bw huyu bnoniface wa tff anakiri kuhusika na kutafunwa kwa pesa ya ubingwa ya yanga na mchezaji bora wa upande wa goli kipa ambae...
Mabingwa wa soka wa Tanzania na Afrika Mashariki na Kati, Yanga SC ya Tanzania wamealikwa kucheza mechi za kirafiki na vigogo wa Sudan ya Kaskazin, El Hilal na El Mereikh ktk ziara ya siku tano...
Mwakyembe kamtwanga na kumwangusha mara kadhaa katika uwanja wa Songea. Katika mashindano ya kirafiki ya kitaifa. Japo ana umri wa miaka 41 ila anaonekana kanenepa saana. Nafikiri ni bia za offer...
kama ilivyo kawaida kila tarehe 8-8 ya kila mwaka simba hufanya tamasha ambalo hulitumia hii kutambulisha wachezaji, jezi zitakazotumiaka kwa msimu huo, kuuza jezi,kuandikisha wanachama wapya na...
Watu wako serious na biashara, Real Madrid wamemsajili mtoto mwenye kipaji cha aina ya Mesi. Habari zaidi bofya kwenye kiunganishi hapo chiniReal Madrid sign seven-year old named Leo - ESPN Soccernet
KOCHA Msaidizi wa timu ya Majimaji ya Songea, Peter Mhina alinukuliwa mwishoni mwa msimu uliopita wa Ligi Kuu akisema kwamba kupuuzwa kwa tamaduni za zamani na u-CCM ndani ya klabu hiyo ndiyo...
Mi nasemaga kwa kweli ukipata sehem kama unaupenyo piga anza sishawishi wizi la hasa huu ndio mtindo wa leo
ukishindwa anakusaidia mwenzio anaekuja
klabu ya yanga imelalamika sana kuhusu swala la...
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Kasim Majaliwa, amelitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kuhakikisha linaandaa ligi ya vijana ya Copa Coca Cola kwa wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.