Fifa risks war with Europe's clubs over international friendlies Fifa could increase number of international dates from 12 to 17 Europe's leading clubs angry with 'ridiculous' expansion...
Jerry Santo: In Tanzania players are kingsBy Patrick Korir
Former Tusker skipper Jerry Santo is amazed at football in Tanzania. Across the border, players are held in much higher regard...
Ninavyoelemwa mimi chombo cha umma lazima kitumike kwa maslahi ya wote.TBC1 inaendeshwa kwa kodi za watanzania wote,kwanini inashindwa kuwapa furaha wapenzi wa mpira wa miguu kote nchini kupitia...
Haya wadau wa soka..ligi kuu ulaya zimekwisha lakini fursa ya kushuhudia kandanda safi na maridadi bado ipo..hii game inachezwa leo tarehe 12/06/2011 mishale ya saa tatu na dk 45 saa za...
Ushindi walio upata Simba sc ni ushahidi kwamba wanaweza! jaman tuwaunge mkono bila kujali itikadi zetu za kitimu kwani inawakilisha taifa. With cofidence every thing is possible
Kuna siku nilicheki kipindi cha mahojiano cha George Weah na mwandishi, kuna baadhi ya clips walikuwa wanazionesha,Weah alicheza mipira ya ajabu sana, naona hata Ronadinho hajawahi kuvionesha...
Watanzania tuna kasumba mbaya sana ya kudharau vyetu na kutukuza vigeni tukiamini ni vizuri kuliko vyetu. Mbaya zaidi sasa hivi hata viongozi nao wanayo hii kasumba. Mwaka 1980 tuliposhiriki kwa...
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Pius Msekwa, amekutana na viongozi watatu wa chama hicho wanaotuhumiwa kwa ufisadi, katika utekelezaji wa uamuzi wa kujivua gamba uliofanywa na Mkutano wa...
Beefed-up Bolt labours to win on reappearance
Before settling into his starting blocks here last night, Usain Bolt flexed his new Popeye muscles and mouthed to the television camera...
WACHEZAJI na viongozi wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars waliwasili juzi usiku wakitokea Bangui walipokuwa wakicheza mechi ya kuwania kufuzu Fainali za afrika zitakazoanyika mwakani...
Kwa mtizamo ambao sio timamu sana wabongo wengi tunafikiri soka ni mchezo maarufu sana,upande wa serikali ndio kabisa hakuna mipango endelevu kabisaa chukua mfano,tunawanunua makocha kwa pesa ya...
Entire football team (From Senegal) being hunted by immigration officials after they disappear in France.
They were due to fly home to Africa on Sunday, but havent been seen since leaving their...
Tuesday, 07 June 2011
LILLESTROM midfielder, Nosa Igiebor, has declared that the nation's U-23 team underrated Tanzania in last Sundays Olympic Games qualifier in Dar-es-Salaam which culminated...
taifa staz inateremka leo dimbani kukutana na jamhuri ya africa ya kati huku kocha mkuu wa timu ya taifa Mr poulsen akijisafisha na kutotaka kubeba lawana m, huyu kocha amejihakikishia kabisa kuwa...
Sosthenes Nyoni
KLABU ya Yanga ipo katika hatua za mwisho kumsajili mshambuaji wa timu ya Mbabane Highlenders ya Swaziland, Mohamed Suleiman kuimarisha zaidi safu yake ya ushambuliaji msimu ujao...
source;mwananchi
Clara Alphonce
KIUNGO wa Simba Athuman Idd 'Chuji' amemshukuru kocha Mosses Basena kwa kurudisha kiwango chake huku Basena akisema kuwa kikosi chake kiko tayari kuwavaa DC...
Yet Tiger Woods is still the highest-paid athlete in the world and it isnt even a close call. Woods earned $75 million over the past 12 months, easily outdistancing second-ranked Kobe Bryant...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.