Timu hii kali ya Tukuyu Stars ilishiriki kwa mara ya kwanza ligi kuu mwaka 1986 na kuchukua ubingwa.
Timu hii ilitisha bara na visiwani, lakini leo tunapoongea haya inashiriki ligi daraja la nne...
kwa mala ya kwanza mwanadada kutoka china Li Na amemshinda mwanadada kutoka Italy Schiavone ktk yale mashindano ya Tennis french open.
French Open women's final - Francesca Schiavone v Li Na...
Mashindano ya riadha kanda ya tano Africa yako live ITV sasa hivi uwanja kwa kweli ni mzuri picha inapendeza sana ila watanzania bado tunajikongoja hakuna aliyefanya wonders ingawa tuko home games...
Man City (Third Kit)
Perhaps the Citizens were trying to convince Carlos Tevez he was playing for River Plate in this eye catching shirt. No doubt influenced by the Argentinian club the...
Sepp Blatter: I once handed back a bribe
President promises to reform Fifa if he is re-elected
Blatter revealed being targeted when secretary general...
Huyu Dada ni Mbaya (Mkali) akiendelea matangazo yatamuona InshaAllah.. Kama ya Sports au yakuuza Bizaa za Tanzania au za Nje haya.
Football technics by a tanzanian street woman
YouTube -...
na Juma Kasesa
UONGOZI wa mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga, umeandaa tuzo maalumu kwa wasanifu majengo wazawa kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kitengo cha ardhi ambaye...
Nimeona Tangazo ITV timu ya riadha ya Taifa inaomba misaada ifuatayo ili iweze kushiriki mashindano ya Africa Mashariki mwezi ujao pale uwanja Taifa:
Kilo 300 za Mchele,
Kilo 50 za Chumvi...
Suspended Fifa vice-president Jack Warner has made public an e-mail that claims Mohamed Bin Hammam "bought" the 2022 World Cup finals for Qatar. Fifa secretary general Jerome Valcke admitted he...
Ilikuwa jumamosi, mbili nane mwezi mei,
Siku ilojaa mikosi, kwa Man U nae Fegi,
Waliuanza kwa kasi, wakitafuta ushindi,
Dakika kumi za kwanza, Barca walikuwa hoi.
Runi alikosa goli...
Luke Donald beats Lee Westwood at Wentworth to become world No1
Donald takes top spot for first time after play-off
Westwood had previously been world's best player...
Shirikisho la mchezo wa soka duniani Fifa, limewasimamisha kwa muda wajumbe wawili wa kamati kuu, Mohamed Bin Hammam na Jack Warner baada ya kikao cha kamati yake ya maadili siku ya Jumapili...
Shukrani kwa TFF kwa kuratibu mashindano ya Taifa kapu, kama itatokea mwakani kombe likawa halijumuishi mchezaji yeyote wa ligi kuu, litanoga!
Mfungaji bora hatategemea uzoefu wake wa ligi kuu...
Huwezi amini jana wakati fainali ya klabu bingwa ulaya kati ya Barcelona na Man u,kocha wa Man u Sir Alex Fergason alikuwa akitetemeka wakati mpira ukiendelea kutokana na hofu na pia kutokana na...
Kwenye nusu fainali ya uefa champions league wakati Barcelona alipoichapa Real Madrid 2 - 0 mechi ya kwanza,watu wasio jua mpira walisema maneno ya uzushi na uongo kuwa Barcelona kabebwa,sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.