Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Jamani matokeo ya game hili vp? mtujuze mliopo uwanjani..............
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Kwa sisi tunaovaa miwani,mala nyingi inatusaidia kuona zaidi ya kuona kwa kawaida kutokana na aidha macho yamepungunza nguvu ya kuona mbali au karibu katika hali ya ufasaha.Sasa nikirudi katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada!! kufahamishwa ni TV gani itaonesha mechi kati ya Vijana wa Julio na Cobs wa Uganda??
0 Reactions
7 Replies
2K Views
The UEFA Control and Disciplinary Body has confirmed the following sanctions against Rangers FC after the two legs of their UEFA Europa League round of 16 tie against PSV Eindhoven. Following a...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Sign of respect? A smirking Jose Mourinho ignored the message above his head during Hell Clasico and faces a touchline ban UEFA has opened disciplinary cases against Real Madrid CF and FC...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Haya wana Jf baada ya kipigo kutoka kwa Bacca,mambo yapo hivi Hostilities between Real Madrid and Barcelona were showing no sign of abating on Friday night and there was even the suggestion a...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana jf Natumai wote ni wazima, Kuna taarifa kuwa kuna bilionea mmoja wa itali amepanga kujenga Bilionea club malindi Kenya. Ujenzi huo utagharimu U$D 700,000,000 na ujenzi wa club hiyo utachukua...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari ambazo zimerushwa na supersport Blitz hivi punde ni kuwa Bafana bafana watacheza game ya kirafiki ya kimataifa na Taifa stars katika uwanja wa mpya mei 14 bongo. Hii ni habari njema kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KOCHA mpya wa Simba Mosses Basena ametua nchini jana na leo anatarajia kusaini mkataba wa miezi sita na klabu hiyo kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu na michuano ya kimataifa huku akitoa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Thomas Ulimwengu, akimtoka beki wa Cameroon. MSHAMBULIAJI chipukizi na hatari wa Timu ya Taifa ya Vijana, Thomas Ulimwengu anatarajia kutua TP Mazembe kwa mkopo. Akizungumza na Championi...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Habari wanajamvi, Jana nlikuwa nikiangalia taarifa anuai za fainali ya michezo/matamasha ya pasaka Kilichonisikitisha ni kwa Timu ya Tanzania kushika mkia kwenye mchezo wa DARTS Duu ina maana sisi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Timu ya arsenal imetimia miaka sita (misimu sita) bila kuchukua kikombe chochote. Kwa takriba misimu minne iliyopita timu hiyo imekuwa ikianza na kasi ya ajabu na kuonesha dalili ya kuchukua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani angalieni tbc1 kisha tujadili.Wajanja wamemzunguka mwenyekiti kabla mkataba wa mwanzo haujaisha wamesaini mwingine kwa kodi sh laki 2 kwa mwezi badala ya 1.2m, ni kama vile TICTS...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
tff ilielekeza vilabu vyote viajiri wasemaji wao lakini hivi karibuni naona hii haifanyiki hasa klabu ya simba. Sasa hivi kila kitu utamuona mwenyekiti wao anauza sura kwenye vyombo vya habari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukifutilia kwa makini unaweza kubaini hili: Vyombo vya habari vya Tanzania hasa FM redios zina mchango mdogo sana kuhusu maendeleo ya soka la hapa nyumbani. Mara nyingi ukisikiliza radio kama...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mambo yamezidi kuiendea kombo timu ya arsenal baada ya leo kufungwa goli 2 kwa 1 na kupoteza kabisa ndoto za ubingwa msimu huu. Sasa imetimia miaka sita bila timu hiyo kupata ubingwa wowotea. Ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
There is this song sung by daniel bendedfield"if ur not the one" i wish friends u can listen it.i lyke it.yani u just miss the one u love.nd if u brokeup u jus feel lyke u going back 2 each other
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KIPA wa Simba na timu ya taifa 'Taifa Stars', Juma Kaseja amesema hawezi kuzungumza chochote juu ya suala lolote linalohusu klabu yake au timu ya taifa. “Nimeamua kufumba mdomo na kuuchunga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Thursday, 21 April 2011 09:27 Clara Alphonce Mrisho Ngasa MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga anayekipiga Azam FC, Mrisho Ngassa amesema yuko tayari kurejea Yanga lakini endapo tu viongozi wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
18 April 2011 A TURKISH firm, Petroland Alliance Company, has set up a budget estimate of US 50m dollars for construction of a new stadium for the Mainland soccer giants, Simba Sports Club. The...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom