Nikiwa kama mchambuzi wa soka la kimataifa niliyebobea na pia muangalizi wa kimataifa (INTERNATIONAL OBSERVER) katika masuala ya soka nisiye na upendeleo wala ushabiki wa timu yoyote, huu ndio...
AS Carlo Ancelotti reflects on his part in Chelsea's latest Champions League flop, he might wish to consider a damning statistic.
During Tuesday's 2-1 defeat, Manchester United goalkeeper...
Wakuu hii imekaaje !
Leo asubuhi kipindi cha jambo leo walimwonyesha spika wa bunge akitanagaza kamati ya ufundi ya timu ya wabunge.
[1] Steven Ngonyani aka Professor Maji marefu Mbunge wa...
HUYU DADA AND KIPAJI
bonyeza hii link chini
妿¡‘尼亚女é'å¹´çš„çƒæŠ€ - 视é¢' - 优酷视é¢' -...
Shabiki wa chelsea bi Tabitha Nyambura mwenye miaka 21 (Kajiado - Kenya) amefariki kwa mshituko punde baada Man U kufunga bao la kwanza.
RIP Tabitha
Chanzo: Citizen TV Kenya
kumekuwa na maneno mengi kabla na hata baada ya mechi kati ya yanga na toto africans jumapili kuwa timu hizi ni baba na mwana kiasi cha kupelekea mechi hiyo kutokuwa na ushindani wa dhati hasa...
Thomas Ulimwengu one of the Tanzania's U-23 rising star
African men ready for 2012 Olympic qualifying draw
There will be 17 men's teams in Wednesday's
draw for the second round...
The draw:
Algeria v Zambia
Morocco v RD Congo
Congo v win Cote dIvoire/Liberia
Gabon v Mali
Sudan v Egypt
Benin v South Africa
Tunisia v Senegal
Tanzania v Nigeria
The 16th qualified...
kwa mafanikio yaliyofikiwa na timu yetu ya taifa vijana kwa kuitoa CAMEROON.na kuweka historia mpya ya soka nchini,kocha mzawa JAMHURI KIHWELU apewe mkataba rasmi na TFF na hii itawapa motisha...
Napata hisia kuwa yanga isingekuwa timu nzuri basi leo ubingwa ungekuwa wa simba.
Kwanza nianze na Star t.v-hawa walisema watatuonyesha mambo yanavyojiri kwenye viwanja vya taifa na...
LONDON, England
KOCHA Carlo Ancelotti amekiri kuwa Chelsea inatakiwa kubadilika haraka kama wanataka kuendelea kubadi kwenye Ligi ya Mabingwa hapo kesho watapocheza dhidi ya Manchester United...
Wanajamvi ningependa kufahamishwa juu ya sheria na taratibu zinazozingatiwa wakati wa kampeni za kufuzu na fainali zenyewe kwa mashindano yanayozingatia umri.Hivi majuzi tu kulikuwa na hoja...
...Yule mshambuliaji wetu hatari Ngasa alichaguliwa kukipa nguvu kikosi chetu cha Manyara Stars(U-23) lakini cha kushangaza hata kwenye orodha ya wachezaji waliotakiwa kulitetea Taifa letu...
Haya sasa wana arsenal,stan kroenke,mfanya biashara wa kimarekani amenunua 16.1% ya hisa za lady nina bracewell-smith na 15.9% za danny fiszman na hatimaye kufikisha 62% ya umiliki katika club ya...
BAO la kisigino la kiungo wa Yanga, Nurdin Bakari lilitosha kufuta ndoto ya Simba ya kutetea ubingwa wake pamoja karamu ya mabao 4-1 dhidi ya Majimaji na kutawala kadi nyekundu na kwenye Uwanja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.