Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wrestlemania 27 took place in Atlanta, Georgia on April 3, 2011. The largest event in wrestling was a massive spectacle, featuring the biggest names in the WWE, including old-timers like...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani naomba kupata updates za mechi kati ya Simba na maafande wa Ruvu JKT unaochezwa leo kwenye shamba la Bibi Temeke mwenzenu niko mbali sina njia ya kupata matokeo zaidi ya hapa jamvini...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Zicheze Kesho Mechi Maalumu kwa Ajili ya Kumbumbuku ya Mzee Wetu Mzee Karume!
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Nimeangalia mechi ya Madrid na Totenham jana, nimegundua kwamba Adebayor bado ni striker hatari sana, Alikua anabaniwa tu pale man city, kapiga bao 2 safi sana za kichwa. Nadhani Mzee Wenger...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ktk mambo yaliyokuwa ya kujifunza na kuvutia kutoka kwa washangiliaji wa tp mazembe ni namna ambavyo walikuwa na mori na kuhamasisha wachezaji wao toka mwanzo hadi mwisho wa mchezo.Namna ile...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mara nyingi ninapoangalia timu yetu ya Taifa ikicheza nawakumbuka sana wachezaji wa zamani. kama hawa wafuatao:- Idd Pazi, Mohamed Mwameja, Zamoyoni Mogella, Said Mwanga Kizota, Damian kimti...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya kipigo cha Simba toka kwa TP Mazembe nimeanza kuhisi huenda na majina ya timu yana mchango katika ushindi hata kabla ya mechi, mfano jina kama TOUT POUISANT MAZEMBE ENGLEBERT linatisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sosthenes Nyoni NDOTO ya mabingwa wa Tanzania, Simba kusombe kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika imebaki hadithi baada kupokea kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa TP Mazembe jana kwenye Uwanja...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilibahatika kuangalia mechi ya simba na tp mazembe pale uwanja wa Taifa,kwa kweli pamoja na simba kufungwa lkn nilikuwa na furaha kubwa sana cku ile kutokana na na performance iliyoonyeshwa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi Wanasoccer Please ninaomba web site yoyote ambayo ninawe kuangalia match za uefa Live Ta very much to all
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TULIONA TU YA KWANZA KAMA HAPA TULIFUNGWA KIZEMBE SANA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati nafuatilia habari za michezo kupitia taarifa ya habari ya channel ten mtangazaji alidokeza kuwa kuna shabiki mmoja alichomwa kwa kisu na kufa kariakoo kutokana na ushabiki baaada ya mechi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dakika 11 zimeenda, bado ni 0-0
0 Reactions
80 Replies
16K Views
Ni moja kati ya wachezaji mahiri na mwenye uwezo mkubwa ambaye ukimtazama jinsi anavyopokea mpira na kutoa pasi na anavyojiweka katika nafasi pia uwezo mkubwa wa kuwa na mpira mda mrefu. My...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani hiyo mechi haijaanza tu? ama sio leo? maana naona kimya hatupati updates ya mechi please nijuzeni wakuu kuhusu hiyo mechi kama ipo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Flash Score: Live Soccer Scores, Livescore
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu.naomba kujuzwa ni station gani ya tv inarusha live hili tukio na muda plse ili sie wa mikoani tuweze shuhudia.nawatakia jumapili njema
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom