Wanajamvi, tujadili hili:
Hivi TFF imejipanga vipi kukabiliana na uwezekano wa suala la kupanga matokea katika mechi mbili zihusuzo watani wa jadi -- Simba na Yanga leo? Nasema hivi kwani uko...
Leo Vijana wametufurahisha sisi wapenda ushindi kwa timu zetu za Taifa, ikizingatiwa tumeitoa timu ya taifa ya vijana ya Cameroon...., Mashabiki leo ndio wameonyesha kuwa sasa hawataki kuonewa...
Mabingwa wa dunia wa Formula 1 msimu uliokwisha wanaonyesha dhahiri kuwa msimu huu pia watakuwa moto wa kuotea mbali.
Mie ni mshabiki wa Ferrari ningependa ifanye mambo yake lakini naona kama wana...
DUNIANI kuna michezo mingi inayopendwa kuchezwa na watoto ikiwa kama sehemu yao ya kujiburudisha, kujifurahisha na kutengeneza undugu na urafiki wa dhati baina yao.
Tanzania mchezo unaopendwa...
Vialli open to Juve call
hehehe this is good news for Juve & Seria A funs!! Former Chelsea boss Gianluca Vialli has revealed he would be interested in the Juventus job if they came calling...
...Wale wanaJF ambao mmekuwa mkifatilia soka letu la Tanzania linalokua kwa kiwango kinachoridhisha,hivi kati ya JUMA KASEJA JUMA na SHAABAN KADO nani zaidi....?
Kama mpenzi wa mpira nimeshangazwa na shortlist ya PFA Award ya msimu huu.
Waliochaguliwa ni (seniors) Samir Nasri, Charlie Adam, Carlos Tevez, Gareth Bale, Scott Parker na Nemanja Vidic...
Mashirika ya Utangazaji ya Umma ni Wajibu wenu kupromoti matukio ya kitaifa ikiwa ni pamoja na kuonesha mechi za Timu ya Taifa.........................siku hizi ni kama mnajisahau vile
...Wana JF nimekuwa nikipata shida kujua kati ya hizi timu kubwa za soka la BONGO yaani SIMBA na YANGA nani anawashabiki wengi hapa Tanzania na other East Africa countries.......? Mwenye data...
Ligi ya Tanzania bara itafikia kilele tarehe 10/04/2011.
Timu zote zinatakiwa kushinda kwa idadi kubwa ya magoli ili kutwaa ubingwa.
Yanga inatakiwa kuifunga Toto, wakati Simba inatakiwa kuifunga...
Wayne Rooney amesema "amesikitishwa" kwa kukosa mchezo wa nusu fainali ya Kombe la FA dhidi ya Manchester City, baada ya rufaa yake kutupiliwa mbali na kutakiwa kutumikia adhabu ya kutocheza mechi...
Naona yule mcheza basketball maarufu kule US LeBron James ameamua kuwekeza kwenye timu bora na yenye mafanikio zaidi England.
LeBron James to hold minority interest in Liverpool Football Club -...
Tanzania Football Federation
Kwa kweli nimevutiwa na tovuti ya TFF ilivyo sasa hivi mara ya mwisho kuitembelea ilikuwa haivutii kabisa hivyo niliachana nayo, lakini leo nimeipitia inavutia...
Kila week end napata presha kabisa, yaani timu ua vitu ninavyo shabikia kwa sasa vyote ni hovyo kabisa.
football Tz: Yanga
Footbal UK: Arsenal
Footbal Spain: Real Madrid
Formula 1: Ferrari
Moto...
Natamani mechi ya mwisho ya ligi mwaka huu ingekuwa ya Yanga Vs Simba . Nadhani TFF nao wanamezea mate kupita maelezo ila ndio ishatoka hivyo.
Kwa wapenzi wa Simba iwapo Yanga itashinda bao 1-0...
SIMBA:Klabu ya Esperance imethibitisha kwamba mchezaji Javier Besala Bokungu aliyeichezea Mazembe katika mchezo wa kwanza dhidi ya Simba ni mchezaji wao halali. Kwamujibu wa habari zilizopatika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.