Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

hello Guys, Thanks GOD Alonzo ameambulia patupu, coz i dont like him. Sebastian Vettel, race winner and WOrld champion Winner
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ttp://www.youtube.com/watch?v=Te6-RBt3Qks Pundits' view on David Haye v Audley Harrison...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Kazi ipo jmosi usiku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi juzi vioo ngozi wa TFFkupitia kwa S. Kayuni walitangaza kuwa Kaseja na mzungu wa Yanga wanafungiwa mechi tatu kwa kutosalimiana na mgeni rasmi- Mkuu wa mKOA wa Mwanza A. kandoro. Lakini...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Ni jambo la kusikitisha sana kuona Tanzania inaendelea kufanya vibaya katika kila nyanja ya michezo, siku si nyingi timu ya wanawake imetolewa kwenye mashindano ambayo ingewapa nafasi ya kucheza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KOCHA wa timu ya taifa Jan Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 22 uku akimrudisha kundini mshambuliaji Gaudence Mwaikimba na Juma Nyosso ambao walitemwa kwa kipindi kirefu katika kikosi cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pweza paulo ampata mrithi wake, ana umri wa miezi minne
0 Reactions
3 Replies
1K Views
How can a team beat Mancity at their own ground and one week later Lose to Newcastle who have just Come from the Championship?
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Working from home can be a great career option for people with all skillsets and lifestyles. You can set your own hours and even work in your pajamas - a pretty appealing alternative to the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
FIFA Ballon D'Or Shortlist Announced Spain and Germany's national teams dominate the player list for 2010. By Andrew McLean Oct 26, 2010 9:20:00 AM...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ile hadithi ya klabu ya Simba kujenga uwanja wake imeaanza tena leo. mwenyekiti wa klabu yetu hiyo mheshimiwa mbunge wa kuteuliwa Ismail Aden Rage amesema kamati ya utendaji ya klabu hiyo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nduguzanguni, wapenzi wa kabumbu.. Karibu katika ukumbi wenu muupendao ikiwa leo tarehe 15 mwezi wa nane, mwaka 2010, ni siku ile ambapo twakata utepe wa hiki kinyang'anyiro cha ligi bora zaidi...
0 Reactions
606 Replies
35K Views
1-1 HT bado
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Je kuna timu ya rugby tz ??? Na kama hatuna kunampango wowote wa kuanzisha?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nijmegen (Uholanzi) - 13/14-nov-2010: kutakuwepo shindano la kimataifa la mchezo wa bao Wamejiunga wachezaji ishirini kutoka Uholanzi, Italia, Ujerumani na Ureno.
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Post jobs,blogs,videos,sale and look for things on sale in TANZANIA. Home is all free website and you can browse . Everybody can create a free profile and post jobs, real estates,videos, blogs...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MANCHESTE DIMBANI LEO...Haya mr.CHICHARITO TUNAKUTEGEMEA UTUBEBE
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ngugu wapendwa napenda kuwajulisha kuhusu site hii mpya inayoitwa mechizaleo.tk katika site hii kuna mechi zote zitakazo chezwa leo, time ya mechi hizo na TV itakayo toa mechi hizo. Kila siku...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kocha wa Man. United alitetea goli la timu yake dhidi ya Totenhum lililofungwa na Nani katika mazingira ya kutatanisha. Habari kamili iko hapo kwenye link Sir Alex Ferguson: Heurelho Gomes to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom