Kama tujuavyo hili ndo jamvi letu wanasport.napenda kujua zaidi kutoka kwenu ivi nani anastail kuitwa the special 1 kati ya hawa 1:ferguson 2:mourinho 3:gurdiola au 4:wenger na kwa vigezo vipi
Tuesday, 23 November 2010 20:46
0
digg
LONDON, Uingereza
KAULI kuhusu hali ya hewa ya joto na jinsi inavyoweza kuikosesha nafasi ya kuwa mwenyeji wa fainali za Kombe la Dunia mwaka 2022...
Timu ya soka ya arsenal nchini england imezidi kutia aibu kwenye uwanja wake wa nyumban emirates baada ya kukubali kipigo cha goli 3-2, the gunners wametia aibu mbele ya chogo (henry) ambaye...
Wadau wa michezo muda si mrefu kipute cha mchezo wa kirafiki kati ya kilimanjaro stars na harambee stars kitaanza. Kocha wa kilimanjaro ameonyesha wasiwasi wake kwenye maandalizi haya ya kombe la...
HAYA WANA JF KWA WALE WENYE MTANDAO MDA WOTE KTK LAPTOP ZAO ANGALIENI MECHI ZOTE ZA UEFA NA LIGI ZA ULAYA KUPITIA HII LINK
MyP2P.eu :: Football schedules, watch live Football on your pc...
Ngazi ya ubingwa Arsenal inaanzia leo kwa Totenham.
Van Persie ndani. Kwa kuwa tulianza na msimu kwa kuwa na majeruhi, Fabregas,Walcot,Van persie,Valmeen Nasri ambao ni kikosi cha kwanza, leo van...
Sikiliza /Tazama video ya Mourinho aki compare mpira kati ya England Italy na spain
Mourinho on the strongest League - Yahoo! Eurosport UK
Premier league ni tough
Seria A ni Tactical
La Liga...
Hehehehe ama kwelim tembo akisifiwa.........Huyu Etoo soka limemuendea kombo kidogo tu anaamua kuwa Zidane kwa kumpiga mchezaji wa Chievo kwa kichwa last weekend walipochapwa 2-1, Binafsi i was...
Rudisha named IAAF athlete of the year
MONACO, November 21- Kenyan running sensation David Rudisha and Croatian high jump star Blanka Vlasic were named male and female athletes of the...
Jose Mourinho was inducted into the League Managers Association's Hall of Fame on Sunday, claiming his time in England was "the best time of my career so far".
The former Chelsea manager, now...
Nimejaribu kulinganisha kati ya vipindi hivi viwili, nikagundua kwa TPF wako vizuri sana katika kuandaa shindano lao kuanzia mwanzo kwenye upatikanaji wa washiriki na hadi kwenye shindano lenyewe...
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Surely we belong to Allah and to Him shall we return
Marehemu Juma Mkambi (wa kwanza shoto waliochuchumaa) akiwa na
kikosi cha Yanga wakati wa fainali za...
Mimi ni shabiki wa Arsenal!
Ilikuwa ni miaka kadhaa iliyopita wakati nikiwa kijana mdogo ambae nahisi hata kidato cha kwanza nilikuwa sijaanza! Nakiri, wakati huo sikuwa na uwezo mkubwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.