Klabu yenye mafanikio zaidi hapa ulimwenguni na klabu ilopata kusajili nyota weeengi wa ukweli hapa Duniani yaani AC Milan imefanikiwa kumnyaka kiungo mwenye tashtiti na pilika zenye mafanikio...
The Liverpool defender, who completed his transfer from Fulham to Anfield on deadline day last week, enjoyed a second half run-out for the Reds in Jamie Carragher's testimonial on Saturday...
Leo nilikuwa naangalia taarifa ya habari kwenye sehemu michezo nikashangazwa sana na aibu ambayo Tanzania imetuletea kwenye mchezo wa Ngumi(boxing).
Tanzania kama nchi mwenyeji wa mashindano ya...
Katika kile kinachoonekana kuumwa na utaifa wao na shauku ya kujitegemea yenyewe nchi ya zanzibar ipo mbioni kuukwaa uwanachama wa shirikisho la vyama vya mpira wa miguu duniani (FIFA).
Hatua...
Hivi leo katika uwanja wa Taifa hapo Dar, Simba na Gor Mahia watakutana katika mechi ya kirafiki.
Yanga Na Gor Mahia watakutana huko Arusha kesho kutwa.
NYON, Switzerland UEFA has banned fans from bringing vuvuzelas into stadiums for European Championship and Champions League matches.
UEFA said Wednesday it wanted to protect the culture and...
Kwa wale wapenzi wa Soka Bongo,naomba tulijadili hili.
Binafsi sioni kama kuna ulazima wa kuwa na kocha wa kigeni ktk youth ranks e.g U17 au U 20,kwa sababu naamini tunao makocha wa hapa nyumbani...
INTER VS ATLATICO MADRID
Broadcast date: Friday 27th August, 2010 @ 21h40 on MBC 3 kwa wale wenye GTV DECODER inapatikana Eutelsat W3A @ 7° East freq 11192 V - SR 3210 1/2
Haya kwa wapenzi wa soka ndio hivyo zimebaki dakika 20 kabla dirisha halijafungwa kwa haraka haraka,
Robinho kutoka Manchester City kwenda AC Milan kwa 15M Euros
Asamoah Gyan kutoka Rennes...
kuna gazeti moja nimesoma kuhusiana na safari ya T. Stars Algeria, limeandika msafara una wachezaji 20 na viongozi 8. hivi ni akina nani( vyeo vyao) ambao ndio hao viongozi 8? nadhani kuna umuhimu...
Nimesoma makala moja iliyotolewa na kocha wa zamani S Mziray kwa kupongeza kuitwa kwenye timu kwa Mchezaji J Kaseja na Chuji. Sina hakika kama kweli kocha wa timu ya taifa anachagua wachezaji au...
Mon Aug 30 10:31pm PDT
Usain Bolt wants to play for Manchester United (seriously)
By Brooks Peck
Since Usain Bolt gained world-wide fame for being ridiculously fast at the 2008 Beijing Olympics...
Kuna aibu zingine ni za kushangaza sana...........
Nilikuwa natazama tv mara habari za michezo
zikafika akatokea mwenyekiti wa taswa.
Eti wameaaamua kumpa jk tuzo ya maalum kwa kujali...
Huenda kauli hii ikawa imeweka historia katika medani ya soka Tanzania. Mwenyekiti wa timu ya Simba Ismail Aden Rage amekanusha taarifa zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa timu hiyo...
My fellow soccer fanatics,
The draw for the group stage of the Europa League is taking place at Monaco's Grimaldi Forum. I am so eager to know the English opponents. Mind you the
final will...
Tokea ligi ya Vodacom ya mwaka jana kumalizika hadi kuanza ligi ya 2010/11 kulikuwepo na muda wa kutosha kukarabati viwanja vitakavyotumika kwa ajili ya ligi ya Vodacom. Uongozi wa uwanja wa Uhuru...
Timu ya soka inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza itashuka daraja msimu huu kama itaendeleza u mdebwedo wake.
Habari hii inaweza kuwa n jema kwa wapinzani wao Man United.
Inaniwia vigumu sana kuelewa dhana nzima ya hawa wahusika wanaoendelea na mchakato wa kuufunga uwanja wa uhuru eti usitumike tena kwani utafanyiwa marekebisho, hivi walikuwa wapi kipindi ligi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.