Hivi hawa TFF hawana malengo ya kutafuta vyanzo vingine vya kujipatia mapato zaidi ya kung'ang'ania mapato ya mlangoni ktk viwanja? Umefika wakati wa sekta hizi za michezo zipewe watu makini...
BIbi Chausiku Mussa(75) aliposhindwa kuzuia hisia zake na kuanza kucheza wimbo wa 'Alamba' ambao ni wimbo wa taarabu uliokuwa ukiporomoshwa na Mzee Yussuf wa kundi la Jahazi juzi kwenye uzinduzi...
Kenya whipped Tanzania 3-1 in a stormy Group A match on Saturday at the Cecafa Under-20 Championship, virtually booking a place in the semi-finals on Wednesday.
It was an explosive match in...
The U.S. Open kicks off at the end of August, and the worlds best female tennis players will compete for the final Grand Slam title of the year. But the real action is off the court, as these...
Kesho mtanange wa kukata gebe na majigambo ya watani wa jadi utapigwa uwanja wa Taifa kati ya Yanga na Simba. Timu zote tayari zipo mafichoni. Kama kawaida yangu karata naidondosha kwa watoto wa...
Diego Maradona claims he wants the Aston Villa managers job.
The former Argentina boss, 49, is looking for a new post after taking charge of his country at the World Cup where they lost in the...
Karibuni jamani... Club ya San Siro inafunguliwa RASMI LEO 29.01.10,ipo mkabala na Rombo Green view! inadaiwa ndo club pekee E.A ambayo unapata huduma zote,mfano BELLY DANCERS,BIKINI WAITERS,POLE...
England can't stop winning with Theo Walcott in the team.
Arsenal's flying winger Theo Walcott, now 21, has now featured in 12 England matches…and England have won all 12.
He became his...
Martin O'Neill has resigned as Aston Villa manager with immediate effect.
Kevin MacDonald has been appointed caretaker boss while no reason has been given for O'Neill's decision to leave after...
Rihanna Breaks Record for Most Number One Songs
Tuesday, August 10, 2010 | 3:40 PM
by Derrick Taylor
You must have thought Rihanna was kidding when she said, "That Rihanna reign, just won't...
Kuna siku kwenye pitaipita zangu nilikutana na huu ubishi,watu walikuwa wakibishana nani mkali kati ya mrisho ngasa na edibily lunyamila basi nami nikaona nilete hii hoja kwa wana JF.Kwa upande...
Next season nasi pia tutapata fursa ya kuona mechi za VPL live kupitia Super Sports na hii ndio fursa kwa wachezaji wetu kuongeza bidii wajitangaze kimataifa.
Source: TANZANIA DAIMA
Wakuu nimeona bora niweke hii thread kwa wadau wenzangu kama mimi ambao nimemiss sana ligi tuweze kudiscuss mechi hii ya kugombea ngao pamoja huku inaendelea.
Yawezekana nikawa katika wachache wapenda nidhamu tanzania
lengo langu kuu ni kujiuliza kabla ya kuwarudisha kaseja na chuji
tumejua sababu zilizowatoa..na kama ndio suluhisho lake nini???
je...
Hatimaye timu yetu kipenzi ya mpira wa miguu ya vijana (Tanzania) a.k.a Ngorongoro Heroes imetolewa katika mashindano baada ya kutoka sare ya goli 1-1 na vijana wa Ivori Coast.
Kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.