Kama kuna kitu cha msingi alichofanya Maradona ni kumgeuza Lionel Messi kuwa playmaker na yeye kuwafungulia wenzake wafunge.
Think kama Rooney, Drogba, Ronaldo na wengine ambao ni...
Huu ni mtazamo wangu binafsi kwamba brazil wameonyesha kiwango cha juu cha dharau na kukosa heshima uwanjani. Ijapokuwa ilikuwa ni mechi za kirafiki nimekuwa nikifatilia mechi zote mbili ya...
Chelsea face West Brom in 2010/11 season opener
Chelsea won the title last season for the first time in four years
Chelsea will begin the defence of their Premier League title with a...
Maradona hits back at Pele and Platini
Argentine coach tells world's greatest player to go 'back to the museum'
Last Updated: Wednesday, June 16, 2010 | 12:53 PM
The Associated Press...
FIFA happy despite empty seats
FIFA has given a guarded thumb up to hosts South Africa after the first few days of the World Cup, but issues with poor attendances and criticism of the way ticket...
Katika hali ya kushangaza jana TBC1 ilionyesha mechi live kati ya Cameroon na Japan pamoja na Holland vs Denmark. Wengi tulishtuka kwani ni juzi tu baada ya mechi kati ya German na Australia...
1.SIKUAMINI BAADA YA KUONA KOCHA HATAKI KUPONGEZWA NA WACHEZAJI WALIOMVAMIA KUMPONGEZA BAADA YA MECHI KATI YA GHANA NA SERBIA.
2.JE NI KWELI YULE NI KOCHA WA GHANA? AU MACHO YANGU?
3.NASIKIA JAMAA...
Leo 14 /6 katika kipindi cha Jambo kwenye taarifa ya habari nimesikia kuwa Spika wa Bunge la amependekeza mechi zote kuonyeshwa TBC1 na vipindi vya bunge vitakavyokuwa live wakati wa mechi za...
Kuna huyu mchezaji Patrick Mtiliga ambaye babake ni Mtanzania na mamaye ni Mdenmark anachezea Malaga ya Spain kama defender yumo kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Denmark kinachocheza kule South...
Nchi ambayo imeshiriki mara nyingi Fainali kombe la Dunia ni:
1.Brazil ambayo imeshiriki mara 19, ikifuatiwa na
2.Germany na Italy zimeshiriki mara 17,
3.Argentina mara 15.
4.Mexico mara 14...
Asked who he believes the next African superstar will be, Wenger responded: I dont know the answer to that. There is no-one at the moment. But this World Cup will be a great opportunity to see...
Ile shoo iliyokuwa ikipaishwa hewani kila Jumapili kupitia Kituo cha Televisheni cha TBC1, Serebuka imekula mwereka kusonga mbele baada ya muandaaji wake kushindwa kukidhi mahitaji ya washiriki...
NILIPOSIKIA kuwa rafiki yangu Yusuf Manji amejitosa kuwa mfadhili wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam na amemwaga mamilioni ya fedha kwa ajili ya usajili wa wachezaji na mambo mengi lukuki...
I hope this guy can someday make it to good European league.
In many ways, the turning point of the contest came on 67 minutes, as Khalfan came on for Philippe Davies in what was the winger's...
Baada ya uhuru tulikuwa na mashindano yanitwa Gossage Cup. Mashindano haya yalikuwa yanadhaminiwa na kampuni ya madawa ya Gossage; mashinado haya hayakuwa na uhusiano na yale mashati ya Gossage...
Maoni ya katuni
Hatimaye michuano iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa ya Kombe la Dunia imeanza jana nchini Afrika Kusini. Michuano hii itakayofikia ukomo...
Kwa watakaokuwa maofisini au sehemu yeyote wataopenda kufuatilia kwa kuona live video event za worldcup.hii ni baadhi ya mitandao unaweza kuona kama internet yako ina capacity nzuri ya...