It's halftime, Brazil leading by 2 - 0.
1st goal on 24th min by Luisao and 2nd Goal by Luis Fabiano on 29th min.
Will Brazil score more? Will Messi make wonders and change results?
ANZANIA imeshuka kwa nafasi moja katika viwango vya ubora wa Shirikisho la Kimataifa la Soka, Fifa, kwa mujibu wa viwango vya ubora kwa mwezi uliopita.
Tanzania ilipanda hadi nafasi ya 93 miezi...
Men's Team Match
Carolina Railhawks at Vancouver Whitecaps FC
August 15, 2009, 7:00 PM (PDT)
Score: 0:0 Draw
Venue: Swangard Stadium
Match Type: Regular Season
Match Number: 21
Kickoff...
Nimeona hii article jamaa anaelezea mapenzi ya waafrika kwa ligi ya Uingereza, labda unaweza kuwa na maoni yako pia..
Africa and the English Premier League: A Love Story...
The full draw for the Champions League group stage is:
Group A: Bayern Munich, Juventus, Bordeaux, Maccabi Haifa
Group B: Man Utd, CSKA Moscow , Besiktas, Wolfsburg
Group C: AC MIlan, Real...
Inaweza kutokea timu za Man Utd na Real Madrid kukutana katika atua za makundi katika Champpions League mwaka kutokana na kuweka kwenye Pot tofauti pia kuna uwezekano wa Chalsea na Inter kukutana...
Sporting great Muhammad Ali brought Manchester to a standstill on Wednesday as he arrived to thousands of fans greeting him on a jaunt to Ricky Hatton's gym in Hyde.
The 67-year-old heavyweight...
A Muslim leader in Italy criticised Internazionale coach Jose Mourinho for comments the Portuguese made about Ramadan at the weekend.
Muslims around the world are fasting during the Islamic holy...
Dear ITV,
Tunawaomba mwaka huu murushe michuano ya UEFA CHAMPION LEAGUE MAANA NYINYI NI UHAKIKA ZAIDI kwa sababu CHANEL TEN WANATUBOA SANA, HAWAKO SERIOUS NA KAZI ZAO. WEWE UTAONYESHA MPIRA LIVE...
Sudan lose 17 players over age Finny Muyeshi, Khartoum
Cecafa has sent packing 17 Sudan players after they were found ineligible to feature in the ongoing regional under-17 tournament in Sudan...
Kuna tetesi kuwa Ivo Mapunda amefukuzwa na St. Georges kimya kimya na kwamba Mkuu Ivo keshatua Dar kimya kimya,
Wakulu tupeni Khabari ya Nambari one wetu na nini anataka kufanya...
Kama kawa washika bunduki aka Watoto, wamewandamiza wazee wa Celtic 2 o'clock.
Goli la kwanza likifungwa kwa kiuno na Gallas.
Mbwembwe hizi sasa vijana zimezidi,angalieni wasije waloga bureee...
Kwanza nawapongeza sana Viongozi wa SIMBA kwa kufanikisha Tamasha lao lilofanyika tarehe 8 mwezi wa 8 mwaka huu katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar Es Salaam, ila nimeshangazwa sana na watu...
Usain Bolt of Jamaica crosses the line to win the gold medal in the men's 100 Metres Final during day two of the 12th IAAF World Athletics Championships at the Olympic Stadium in Berlin, Germany...
Katika ulimwengu wa sasa soka limekuwa ni biashara nzuri na yenye kuvutia uwekezaji kwa kiasi kikubwa tu. Klabu nyingi duniani zinajizatiti katika kuweka mifumo mizuri tu ya pesa, uongozi bora...
Katika ulimwengu wa sasa soka limekuwa ni biashara nzuri na yenye kuvutia uwekezaji kwa kiasi kikubwa tu. Klabu nyingi duniani zinajizatiti katika kuweka mifumo mizuri tu ya pesa, uongozi bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.