The long wait is finally over for supporters as the Premier League returns for what promises to be an enthralling 2009/10 campaign.
Old rivalries will continue, fresh challengers have the...
TIMU ya soka ya Azam FC kutoka jijini Dar es Salam iliopo visiwani humu kwa ajili mazoezi yake ya mwisho imeangwa rasmi na vijana wa timu ya Zanzibar Heroes kwa kuchapwa bao 1-0 bila ya huruma...
Wadau wa soka hivi ni lazima jezi ya timu ya taifa iwe na mirangi yote ya bendera? Mchanganyiko wa rangi kwa kweli hauleti mvuto uwanjani...rangi ni "dull". Hawa wadhamini na disigners wa mijezi...
Na Sosthenes Nyoni
KOCHA wa Yanga Dusan Kondic amesema atakuwa tayari kujiudhuru kuifundisha timu hiyo endapo itashindwa kufuzu kwenye michuano ya Afrika mwakani.
Akizungumza na Mwananchi...
Amfuata mwanachama jukwaani
na Wilbert Molandi
KATIBU Mkuu wa Simba, Mwina Kaduguda ‘Simba wa Yuda' , jana alishindwa kudhibiti hasira hadi kumchapa ngumi mwanachama mwenzake, Kessy...
Rest in peace
Al-Shoaibi, Mark Vivien Foe, Antonio Puerta, Miklos Feher...
Thanks for the Joy you gave us while watching You Playing!
YouTube - ( R.i.p ) - MIKLOS FEHER - ( R.i.p )
YouTube -...
Katika pitpita zangu huko nba.com nimeona jina la Mtanzania Martin Kolikoli akiwa amewekwa katika kitengo cha wachezaji wa kimataifa waliopo katika NBA draft ya mwaka huu. Niko interested kumjua...
Sisi Yanga tunajua fika kuwa SIMBA sc siku zote wao wanalala kitanda kimoja na Mafisadi na ushahidi huhitaji kwenda mbali....
wameamua kumwalika spika ambaye anatuhumiwa na kashfa za ufisadi...
American Idol judge Paula Abdul is quitting the TV singing contest after eight years.
Making the announcement on Twitter, the 47-year-old said: "With sadness in my heart, I've decided not to...
BARCELONA superstar Lionel Messi will be offered a new £8million-a-year long-term deal.
Barca also want a £255m buy-out clause in the 22-year-old's contract.
SOURCE: THE SUN
Wale wenye jeuri ya...
POLISI nchini Sweden wameapa kuwasaka wachezaji watano wa timu ya vijana ya Azam waliotokomea wakiwa nchini humo hivi karibuni.
Wiki iliyopita, wachezaji hao walitoroka na kuzamia kusikojulikana...
Msimu ndio umeisha na tumeshuhudia Barcelona,Manchester United,Porto,Inter,Bordeaux wamefanikiwa kuchukua ubingwa kwenye ligi zao na Barcelona wakafanikiwa kubeba Champions League.
Tayari baadhi...
Former England manager Sir Bobby Robson has died at the age of 76, following a long battle with cancer.
Robson will be best remembered on the international stage for leading England to the 1990...
CHAMA Cha Wananchi (CUF) kimesema licha ya Mwakilishi wake Abass Juma Muhunzi kukaidi amri ya uongozi wa chama hicho kutokwenda Dodoma kushiriki katika michezo na timu ya bunge chama hicho...
Boniface Ambani asikitika kuikosa Ligi KuuNa Jessca Nangawe
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Kenya, Boniface Ambani huenda akakosa baadhi ya mechi za ufunguzi za Ligi kuu baada ya kupewa mapumziko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.