Week iliyopita serikali ya Dubai ilimnyima visa mcheza Tennis wa Israel soma hapa
Israeli Peer refused Dubai visa.
Tennis channel ikastrike back kwa kusema hawataonyesha hayo mashindano...
TIMU ya soka ya Yanga muda mfupi uliopita imeweza kuiangushia kipigo cha mbwa mwizi Eoile dOr Mirontsy ya Comoro baada ya kuifunga mabao 6-0 katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika...
Eti ni kwamba, wachezaji wengi wa Taifa Stars wanatoka Yanga, jezi za Wazimbabwe ni kama za Yanga...., kwanini wasione ni kama yanga B! Ya kweli haya ndugu wadau? Na kama ni hivyo, huko Ivory cost...
Hivi kweli hatuna majina katika nchi hii ya Watanganyika na Wazanzibar yenye makabila lukuki na vivutio kibao kiasi kwamba tunarudia kulitumia jina ambalo halina utambulisho wowote kwa nchi hii...
LEWIS HAMILTON made a powerful return to the track in Spain yesterday as a desert storm hit his rivals.
The F1 world champ was quickest of the drivers using their 2009 cars at sunny Jerez...
Mashabiki wengi wa mchezo wa mpira wa miguu katika Tanznzania na Kenya
hushabikia zaidi timu za ulaya kuliko timu za nchi zao.
Uzalendo uko wapi?
Tuzishabikie timu zetu ili kuzipatia hamasa.
Kama kuna mtu ambaye amedizaini jezi za taifa stars basi mtu huyu ni bomu hajui dizainingi. Jezi za stars ziko hivi:
1. Fulana za buluu zina mistari miwili mieusi mabegani iliyoanzia karibu na...
Did Jacko get skin bug from nose job?
MICHAEL JACKSON is suffering from an acute MRSA-type skin infection which threatens to EAT his flesh. The singer has been receiving antibiotics via a drip in...
Tanzania yaporomoka tena katika viwango vya Fifa
NYON, Uswisi
TANZANIA inakwenda fainali za Afrika za wachezaji wa ndani, CHAN ikiwa imeporomoka nafasi mbili katika kiwango cha Shirikisho la...
Taifa Stars banners banned in Zanzibar
2009-02-08 10:46:35
By Mwinyi Sadallah, Zanzibar
The Zanzibar Football Association (ZFA) yesterday stopped their Mainland counterparts Tanzania...
Freestyle motocross rider Jeremy Lusk dies
By MARIANELA JIMENEZ, Associated Press Writer
More Videos SAN JOSE, Costa Rica (AP)Jeremy Lusk, an American freestyle motocross rider, died of head...
SVEN GORAN ERIKSSON is Portsmouths No 1 target to replace Tony Adams as boss.
And Eriksson has emerged as the man the players want. Peter Crouch, Sol Campbell, Glen Johnson and David James...
1964 - Cosmopolitans (Dar es Salaam) [Dar es Salaam league]
1965 - Sunderland (Dar es Salaam)
1966 - Sunderland (Dar es Salaam)
1967 - Cosmopolitans (Dar es Salaam)
1968 - Young Africans...
Wajameni hebu angalieni hiki kipande cha taarifa ya gazei la habariLeo la tar 31/01/09 kuhusu mgogoro kati ya TFF na ZFA;
Vyama hivi viwili vimekuwa vikitofautiana kila mara , inakuwa kama maji...
DStv is pleased to announce that SuperSport has secured the licence to the Barclays Premier League Live Package A in Sub-Saharan Africa and will be showing these matches on SuperSport from this...
Kama mnavyojua SuperBowl XLIII inafanyika my hometown Tampa Bay. Game linachezwa Feb 1.
Wakati watu wa Midwest na North mnakaukiana kwa libaridi la kufa mtu, huku tutakuwa kwenye 80's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.