MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Mohamed Abdallah Machupa, amesema klabu hiyo imemdhalilisha vya kutosha, hivyo hafikirii kuichezea tena klabu hiyo.
Akizungumza leo jioni, Machupa, ambaye kwa...
When Officials Attack!!!
Sometimes an official, through no fault of his own, will get caught up in the middle of a play and inadvertently make contact with a player. Sometimes an official...
Kama ilivyokuwa ikitarajiwa Paul Ince amepigwa chini kwenye kibarua chake huko Ewood Park, hiyo ni breaking news iliyopo live sasa hivi kwenye Sky sports ninapoandika hapa. Wengi hapa tulikuwa...
Baada ya kufanikiwa kufuzu mashindano ya CHAN ,Tanzania imepanda juu kwa nafasi sita juu zaidi
Kutoka nafasi ya 105 hadi ya 99
Keep it up MAXIMO hadi tuingie kwenye top 50
Lilikuwapo kundi kubwa la watu waliombeza sana Kocha mbrazil Marcio Maximo,hasa baada ya kushindwa michezo ya Chalenji na matokeo ya kutoridhisha katika baadhi ya mechi.Kocha alipata lawama kubwa...
TIMU ya soka ya Prisons ya Mbeya jioni hii imeanza vibaya michuano ya kombe la Tusker baada ya kufungwa mabao 2-0 na Tusker ya Kenya katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam...
Baadhi ya wachezaji wa Taifa Stars pamoja na mbunge wa Singida, Mohamed Dewji (mwenye miwani) wakisakata dansi mitaani wakati wa mapokezi Jumatatu baada ya kuishinda Sudan jumla ya magoli 5-2 na...
Wadau leo hii TFF imefanya uchaguzi, wa viongozi wapya watakaoliongoza soka la Tanzania kwa miaka minne Ijayo. Matokeo ya wajumbe waliochaguliwa ni kama yafuatavyo
WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA...
TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kuwasili Dar es Salaam, kesho saa 3:00 asubuhi kwa saa za Afrika Mashariki na kutazamiwa kulakiwa na maelfu ya wakazi wa jiji hilo...
...vipi matokeo ya uchaguzi wa TFF leo, nobody's interested? nani RAIS mpya huko? nilidhani JF inaongoza wengine wanafuatia,
hii nimeipata kwa hisani ya blog ya issamichuzi...
WAJUMBE 12 WA...
Wakuu Timu yetu ya Taifa,Taifa stars leo inapambana na Sudan ambapo mshindi atapata tiketi ya kushiriki mashindano ya CHAN..Naomba wana JF watakaokuwa wakipata matokeo wakati mechi ikiendelea wawe...
Wakuu Samahanini nilipotea kwa muda kwenye kutafuta katika hali yetu ya kawaida. Nimerudi na naomba mniruhusu kuendelea kuchangia, yangu leo machache.
Hivi ni kweli huyu ajulikanaye kama...
Wakuu Samahanini nilipotea kwa muda kwenye kutafuta katika hali yetu ya kawaida. Nimerudi na naomba mniruhusu kuendelea kuchangia, yangu leo machache.
Hivi ni kweli huyu ajulikanaye kama...
Ronaldo almost joined Arsenal
Cristiano Ronaldo has revealed that he was ''within an inch'' of joining Arsenal before he accepted an offer three times greater to sign for Manchester United in...
Kwa wapenzi wa ngumi, najua dec 6 mlikuwa mkiisubiri kwa hamu na ndiyo hiyo inajongea, wengi tunatarajia kwamba hili ndilo litakalokuwa pambano bora la boxing kwa mwaka huu. Oscar De la Hoya...
France Football has handed its prestigious Ballon d'Or award to Cristiano Ronaldo, a decision that will surprise no-one given his outstanding performances over the past 12 months.
The...
Wanajamii wenzangu, ingawa hili linaonekana si la maana sana ila napenda kushare nanyi:
Kwa wale wanaoangalia series ya PRISON BREAK ETC
Nimeona sehemu nyingi kwenye bars, wanaouza movie wana...
Nimeziangalia filamu hizi mbili na kuzilinganisha na nimefurahishwa zaidi ya Body of Lies kuliko Quantum of Solace.
Kilichonivutia ni kuona kuwa matukio ya kwenye Body of Lies yanaendana zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.