Nimeona niweka hapa tuongelea the games themselves and how they are going, kwenye thread nyingine kumekua na mambo mengi.
Page ya Tanzania on Olympic website iko empty kidogo, hata timu haipo...
Wakuu leo kutakuwa na mechi za Uefa Champions League,baadhi ya mechi za leo ni FC TWENTE ENSCHEDE vs ARSENAL,,,,,BARCELONA vs WISLA KRAKOW,,,,,JUVENTUS vs ARTMEDIA PETRZALKA,,,,,SCHALKE 04 vs...
Napenda kuwasuta kwa nguvu zote viongozi wa TFF kwa kukurupuka kutoa adhabu nzito bila kuzingatia maslahi ya taifa. Ningewaungeni mkono kama mgekuwa makini na kuwafungia viongozi wote wa Yanga...
Wasalaam wanazi wenzangu wa Manutd Utd pia na wapenzi wa kandanda kwa ujumla!, ikiwa imebaki wiki moja tuu ili pazia la ligi kuu ya Uingereza, ligi ambayo mimi na wewe tunaipenda sio mbaya kwa...
Timu ya Bongo FC ya Finland jana iliweza kuingia fainali ya kombe la Prevention ilipoweza kuifunga Guinea kwa mabao 2-1. Sasa Bongo FC itakutana na Nigeria katika fainali itakayochezwa siku ya...
Chelsea yaichapa AC Milan 5-0
Moscow, Russia
NICOLAS Anelka amejiweka katika nafqsi nzuri ya kuwa miongini mwa wachezaji wa kikosi cha kwanza cha kocha Phil Scolari wa Chelsea baada kufanya...
I am a slave, says Ronaldo as he pushes for Madrid moveDaniel Taylor The Guardian, Friday July 11, 2008
Cristiano Ronaldo made his comments in an interview on Portuguese television...
Wazee wa klabu ya Yanga, `wamemkalia kooni` Katibu Mkuu wa Baraza la soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Nicholas Musonye kwa kumtaka kuiomba radhi klabu hiyo pamoja na kulipa...
Wanainuka, Wanainama wanaona haya hao!!!!
Young Africans get fine and ban
By Emmanuel Muga
BBC Sport, Dar es Salaam
Young Africans have been fined and banned by Cecafa
Tanzanian...
United smash British transfer record to keep £32m Tevez
Mark Ogden in Pretoria The Guardian, Saturday July 26 2008
Manchester United have agreed in principle to pay a British record £32m to...
United will take the money and run out of Africa· £1.5m payment for Nigeria match too hard to resist
· Ferguson against moving the Community Shield
Mark Ogden in Pretoria The Guardian...
Thursday, July 24, 2008
California dreaming:Cristiano Ronaldo akijioka kwenye jua mpaka kuwa unconscious.
Kijana huyu mwenye umri wa miaka 23 amepachikwa jina la 'Crisp-tan Brown-aldo'...
simba 0 ura 1
katika dakika za mwisho kipindi cha nyongeza, simba wametolewa na ura ya uganda kwa bao moja. dakika moja kabla ya mpira kwisha simba walipata penalty na golikipa wa uganda akaokoa...
Agwu unhappy with African refs
BBC Sports News
Felix Agwu is upset with refereeing standards in Africa
Enyimba chairman Felix Agwu has hit out at the standard of African referees after...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.