Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Imewatimua Ramadhan wasso na Emmanuel gabriel, kisa? wanaihujumu timu
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Watanzania wengi haswa wale wapenzi wa mpira wa miguu haswa kandanda wamekuwa wakijiuliza ni lini wachezaji wetu wataenda kucheza nchi za watu katika ligi mbali mbali za kulipwa ? Jibu hilo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Football Live Channel Siku njema
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TIMU ya taifa ya netiboli Tanzania ‘Ikulu Netball Team’ imeondoka nchini jana kwenda Afrika Kusini kushiriki mashindano ya kusaka viwango kwa timu zitakazoshiriki mashindano ya Kombe la Dunia la...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
AIG is not a US company, 80% of their business is outside. So why is US populace bailing them out? Or if it is such a sweet deal, why doesn't ECB ask for a piece of the action? The stench is...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Chama cha Riadha Tanzania (RT), limesema baada ya Rais Jakaya Kikwete kusema anataka kusaidia mchezo huo kwa kutafuta kocha wa kigeni, chama hicho kimesema hakitakurupuka badala yake hivi sasa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
TFF hasara mil. 71/- MECHI YA STARS, GHANA na Dina Ismail MECHI ya kirafiki ya kimataifa kati ya timu ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars, na Ghana, The Black Stars, iliyopigwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni mara chache watanzania tunapata nafasi ya kushangilia mwana riadha wetu. Jana kwa kushika nafasi ya nne huko Stuttgart umenifanya nipate faraja. Pengine hao viongozi wetu wangewatilia maanani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Inasikitisha kuona badala ya kuandika na kuzitangaza timu changa zinazofanya vizuri katika Premier Vodacom. Mfano jana KAGERA SUGAR ilicheza na VILLA SQUARD lakini vyombo vya habari havikuipa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hili ni pengo kubwa sana kwa Chelsea, baada ya Mzee Makelele kung'atuka wamebaki wepesi katika viungo-Ulinzi, inabidi kijana Obi Mikel ajikaze sasa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mchezaji mpya wa Timu ya Manchester United Dimitar Berbetov ametakiwa kupunguza kama si kuacha kabisa tabia yake ya uvutaji sigara kama anataka kuendelea kupata namba kwa muda mrefu kwenye kikosi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwa wadau wa Tennis..Mambo ndio yanaelekea Ukingoni Huko kwenye US Open bado matop seed wanasumbua kupunguzana ili kijogoo apatikane on sunday 7-9-2008. Mpaka sasa Nadal amesonga mbele Semi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wapenda soka wote, naanzisha thread hii ili tuwezekupashana na kujadili issue zote za usajili wa msimu ujao, tusijilimit kwenye premier ligue tu, tupeane habari za Serie A, La Liga...
0 Reactions
82 Replies
14K Views
It is the kind of news that would make you choke on your breakfast cereal but, believe it or not, England are champions of the world…albeit in the International Gay and Lesbian Football...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Powell clocks second fastest 100m BBC Sports News Powell could only finish fifth in the Olympic 100m final Jamaica's Asafa Powell ran the second fastest 100m in history at the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Page last updated at 17:52 GMT, Tuesday, 2 September 2008 18:52 UK BBC Sports News Ghana FA denies match fixing The Ghana FA has denied match fixing allegations The Ghana Football...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Manchester City wamefanikiwa kuwazidi kete Chelsea kwa kumchukua Mbrazili forward Robinho toka klabu ya Real Madrid kwa rekodi ya uhamisho ya kwa UK ya £32.5m. Chelsea wamekuwa wakimfukuzia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dakika ya 65 Arsenal 3 Newcastle 0
0 Reactions
9 Replies
2K Views
--Wana JF, michezo ya Olympics 2008 huko Beijing China iko mlangoni tu, je Tanzania imejiaandaa vipi na michezo ya mwaka huu? --Ni akina nani wanajiandaa kutuwakilisha na nikwenye michezo ipi...
0 Reactions
249 Replies
27K Views
Eurosport - Mon, 01 Sep 11:06:00 2008 An Abu Dhabi business consortium have bought Manchester City from former Thai Prime Minister Thaksin Shinawatra, according to an Arabian Business website...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom