Wadau hamjamboni nyote?
Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania
Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo...
GAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS
Sababu ni hizi
1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no...
Nimeaangalia gemu vizuri, hata ukitoa povu lakini hizi ndio facts.
1. Utopolo hawana timu, umebaki ujanja ujanja tu ambao Azam walishaung'amua nje ya uwanja.
2.Utopolo wataishia hatua za awali...
Hii timu hamna kitu, yaani timu inayomtegemea mchezaji mmoja Kila mechi ndio upate ushindi?
Siku uyo mchezaji akipatwa na majeraha ni wataomba mechi ihairishwe?
Itoshe kusema Yanga hamna timu...
Nami pia nimesikia video clips na maelezo kuwa MANARA anaachana na soka baada ya kudumu kwa muda mrefu.
Ukiangalia interview za karibuni za Manara, tangu alipohama toka SIMBA,matusi mengi...
Mwanamichezo Liston Katabazi analiburuza mahakamani Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akilidai shirikisho hilo lililotangaza kumfungia maisha kujihusisha na soka.
Kwa mujibu wa Katabazi...
kama unajua kutabili matokeo ya yanga 😂😂. weka yanga win na mshahara wako. upate wa 9months .
weka nyumba 1 upate nyumba 9.
Acheni siasa za mpira, walk the talk.
Hivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC?
Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni...
Ufaransa ulienda kwenye michuano ya fainali za kombe la dunia 2002 kule south Korea and Japan as double champions, having won the 1998 world cup and Euro 2000.
Ufaransa walipangwa kundi A wakiwa...
Ndugu Wana Simba ....kama mtakubali kuwa goli la azizi ki dhidi ya mamelodi ni goli la halali .........basi tuta ahirisha kumsajili Chama coz bado kumtangaza tu.
Otherwise...
Hatua ya 16 Bora UEFA Euro 2024
Juni 29, 2024
Switzerland Vs Italia (1:00 Usiku)
Germany Vs Denmark (4:00 Usiku)
Juni 30, 2024
England Vs Slovakia (1:00 Usiku)
Uhispania Vs Georgia (4:00...
Klabu yoyote Bora kokote pale duniani ni ile ambayo pia hata Mchezaji wake Mmoja anayechezea Timu ya Taifa anaipeleka hiyo Timu yake katika hatua muhimu za Mashindano makubwa yanayotambulika na...
Inadaiwa kuwa Jose Mourinho ameamua kurejea katika Maisha ya kufundisha soka kwa kukubali kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuinoa Fenerbahce ya Uturuki.
Kocha huyo anatarajiwa kuchukua nafasi...
GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC Tukuka nimefurahi mno Yanga SC kumsajili huyu Mchezaji na hakika Yanga SC yetu kwa Msimu ujao si tu kwamba inaenda Kubeba tena Kombe la NBC Premier League...
Mwezi mzima huu vyombo vya habari hakuna hata kimoja kilichoandika habari ya usajili wa mchezaji Clatous Chota Chama kwa usahihi, sio vyombo vya habari vya michezo, sio mitandao ya kijamii na wala...
Kama usajili wa Lameck Lawi ni kwenda kuziba nafasi ya Henock Inonga basi Simba wame-prove failure, otherwise Lawi ani-prove wrong.
PIA SOMA
- Henock Inonga Baka ameondoka Simba SC
- Hii Dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.