Kwa mashabiki, wanachama, na wadau wote wa michezo kwa ujumla! Habari ndiyo hiyo.
TFF na FIFA kwa pamoja wameifuta ile marufuku yao ya kuizuia klabu ya Yanga kufanya usajili.
Na hii ni baada ya...
Tarehe kama ya leo miaka 21 iliyopita Dunia ilimpoteza kiungo mahiri wa Man City na timu ya Taifa ya Cameroun, Marc-Vivien Foe.
Foe alidondoka uwanjani dakika ya 72 wakati wa mchezo wa Kombe la...
Siyo kila Mtu anapenda Kudanganyika na Kukopwa huku Mali Kauli zikiwa nyingi. Kawatoleeni Mbavuni Kudadadeki.
ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU
Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI...
“..tulishawalipa, hakuna kesi yoyote FIFA inayoihusu Yanga” – Ally Kamwe anafafanua kuhusu madai ya timu hiyo kudaiwa na baadhi ya wachezaji iliyoachana nao, atangaza tarehe ya kuanza kutoa ‘thank...
Klabu ya wanywa wanzuki kariakoo simba
Ipo kwenye mazumgumzo ya mwisho kunasa saini ya mchezaji raia wa zambia ndugu Debora .
Kiungo huyo machachari kabisa anayemiliki dimba la chini atakuja...
Nimecheza mpira na naujua mpira na nauchambua mpira pia Saido Kanoute si Mchezaji wa Hadhi ya Simba SC yetu.
ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU
Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI...
Unajua humu ndani tunachukuliana poa sana labda kwa sababu ya hizi ID feki. Kuna madogo ambao wanatakiwa wakupe heshma iliyotukuka ila kwa kuwa tunakutana katika nyuzi za soka tunachukuliana wote...
Ukweli hawezi kuwa na nafasi kubwa kwa uchezaji wa yanga labda kama ataingia kwenye mfumo wao kitu ambacho ni kigumu.
Yanga wanamchukua kwa ajili ya kuuza jezi tu.Wako kimkakati sana.Huyu hata...
TLS ni body corporate, ina common seal, ni chama chenye historia kubwa katika nchi, ndio maana serikali imeingiza mipango yake kwenye TLS, sheria za nchi hii haziwezi kwenda bila kushirikishq TLS...
Nilipogundua hili nikawa sasa naangalia faida zaidi katika kuzishabikia hizi teams. Hakuna mwenye akili anashabikia hizi teams. Au mwenye uwezo mzuri kiuchumi
Ukiona hawa wenyewe uwezo wapo hizi...
Cloatus Chota Chama
Nikiwa shabiki wa Simba niliupenda uchezaji wa Chama lakini nimekuwa nakerwa mno na tabia yake ya kuzua sintofahamu kila unapofika wakati wa usajili.
Kwa tabia hii ni vizuri...
Mnatuambia Simba mpya inakuja, mnawaimbisha watu kuwa safari ijayo mnyama atakuwa hashikiki, ukiangalia yanayoendelea kwenye App ni Mzamiru, Kapombe, Israel, bado Tshabalala, Kaze, Duchu...
Viongozi wengi hasa Mo Dewji amekataa kumlipa zaidi Chama. Na anasema amechoka na kelele za kuhusu Chama. Akina Magori wanaunga mkono. Aachwe.
Mashabiki wengi wa Simba wamemchoka. Wamebaki...
🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚CR Belouizdad
📆 24.02.2024
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 1:00 Usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya CR Belouizdad
Mpira umeanza
Dakika ya 1
Dakika ya 5
0-0
Dakika ya...
Nimeona Azam wameachana na Ayoub Lyanga, huyu kiungo ni mzuri sana, mwanza anajua kupiga kona, pili, ni mzoefu, tatu bado boli analo, mm bado naamini Lyanga ni moja ya making hatari sana hapa...
Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu
KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.