PR wa Chama wapo vizuri sana. Hiyo comment ya Aucho kuhusu Chama ni mchongo maalumu kwa ajili ya kuwapush viongozi wa Simba mfanye maamuzi kwa shinikizo mumpe Chama mkataba wa miaka mitatu na...
Ama kweli takwimu za kibu zinatia uchungu, mwaka huu kibu kacheza mechi 24 kafunga goli 1
Eng hersi kacheza mechi 1 na kufunga goali 1
Nimelia sana Leo Baada kusikia hili
Mo Dewji: Nitatoa taarifa kuhusu Wajumbe wa Bodi ya Simba Sports Club kutoka upande wa Mwekezaji, leo saa mbili na nusu usiku.
Unahisi jina gani halitokosekana?
=====
Kutoka kwa Ahmed Aliy...
Sisi waafrika hatuna sababu ya kuacha kuishangilia ufaransa, makocha wake wote waliopita hakuna ambaye hateui nusu ya kikosi wafaransa weusi.
Hii Uerope ya mwaka huu wametia fora, kipa...
Triple C bado ni mchezaji mzuri sana na kwa timu inayohitaji makombe ama kuwa na kiu ya mafanikio haiwezi kumtema mchezaji kama Chama.
Maneno ya mashabiki kuwa Simba iachane na Chama akaangalie...
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Coastal Union zinaeleza kuwa fedha ambayo klabu ya Simba iliingiza kwenye ‘account’ ya Coast Union kwaajili ya biashara ya mchezaji wao, Lameck Lawi zimerudishwa...
Maswali muhimu ya kujiuliza juu ya usajili wa LAMECK LAWI.
1). Kwanini SIMBA watambulishe picha za wanyama badala ya picha ya mchezaji husika.
2). Kwanini SIMBA wamtambulishe LAWI katikati ya...
Beki Lameck Lawi ni beki mzuri lakini sio wa kumgombea, acheni utoto mliopewa kazi ya kusajili.
Lawi ni difenda wa kawaida sana, Lawi hafiki hata robo ya Ibrahim Bacca.
Lawi hafiki hata nusu ya...
Baada ya timu ya Pamba United kutoka Mwanza kufanikiwa kupanda kwenye Ligi Kuu ya NBC mwaka 2024/25 wameamua kutemana na wachezaji wake wote.
Hii imetolewa leo na msemaji wao, kwa kudai...
South Africa Ukiongelea ukubwa wa Soka la Tanzania basi watasema @yangasc kwasababu walicheza na @sundownsfc , na ILe mechi ilikuwa na ushindani mkubwa kwahiyo wa south Africa walikuwa...
"Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja.
Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio
Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani...
Singida Black Stars SC dhamira yetu ni kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup 2024 endapo kila kitu kitaenda kama tulivyopanga.
Tumeshawasiliana na waandaaji tunasubiri watupe uthibitisho rasmi...
Kutoka Juhudi Sekondari JKT Female Basketball team na Sasa namuona kwenye team ya Mara female basketball team huyu nadhani kwa Sasa ndie nyota kabisa wa basketball kwa upande wa wanawake nimekosa...
Habari wanagentamycine washabiki kindakindani wa Simba kindaki ndaki, nikiongea kutokea Tanga mjini maeneo ya Mkwakwani napenda kutoa taarifa kuwa taarifa za simba kumnunua mchezaji wetu Lameck...
Baada ya kufanikiwa kusalia kwenye NBC Premier League, hatimaye Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amewakabidhi wachezaji wa Tabora United, kitita cha Shilingi milioni 50 aliyowaahidi endapo...
Kuanzia leo nitaacha rasmi Kuwalaumu Marefa wa Afrika kwa Kuvurunda kwa Kupendelea katika Ligi zetu na Mashindano yetu mbalimbali kwani kumbe huu Ugonjwa Sugu wa Marefa hauko tu Afrika na kwamba...
Nilipenda tu kujua kwa kweli. Maana kuna watu humu jukwaani walifikia mpaka hatua ya kumtishia usalama wake!
Ila cha kushangaza kwa sasa naona habari ya mjini ni Thank you tu kwa baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.