Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

“Saido ni mfungaji bora Simba kwa misimu miwili mfululizo. Napinga Saido kuondoka isipokuwa angeongezewa mkataba na wakasajili mtu mwingine ambaye ana ubora zaidi wakawa wanashirikiana na Saido.”...
5 Reactions
19 Replies
476 Views
Niko Wizarani nafuatilia kuhusu ukweli wa transformation ya Simba umekomea wap zaidi ya mwaka wa tatu sasa, nakutakana na Thank you ya Saido Ntibanzokiza. Kwangu anabakia kuwa Shujaa ndani ya...
5 Reactions
14 Replies
857 Views
Huyu ni beki aliyesajiliwa na club ya Yanga ambae usajili wake unaweza kutangazwa muda wowote.Jambo lililoshangaza wadau wengi hasa Sudan kusini anakotokea ni kipi kimewavutia Yanga kumsajili huku...
0 Reactions
3 Replies
384 Views
***** yaani Mali akanifanya nijione leo namkalisha kanji kipindi chote cha kwanza mpaka cha pili baada ya goli nikajiona nimemaliza kazi! ***** alooo Ivory coast walinishangaza kama mtu kavamiwa...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
AzamTv walitangaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro. Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha. Na leo mpaka sasa hakuna mechi wameonyesha. Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha...
14 Reactions
87 Replies
6K Views
Simba kwa sasa sio Company Limited kwa sababu hadi leo transformation haijakamilika, mchakato wa transformation umechukua muda mrefu sana, ni zaidi ya miaka tati sasa if am not mistaken. Nini...
4 Reactions
7 Replies
400 Views
Ndani ya wiki hii tumetambulisha watu watatu muhimu sana ndani ya timu yetu. Tulianza na Kocha Mkuu Patrick Aussems maarufu kama Uchebe, tukafuata Ramadhani Nsanzurwimo msaidizi wake ambaye ana...
10 Reactions
58 Replies
2K Views
Jamaa hawezi itwa striker hatari ila amemake historia kubwa. Magoli 155.
3 Reactions
3 Replies
562 Views
Hilo tusi linapunguza nguvu ya mashabiki wa Simba wenye akili zao na kubakiza hao hao mnaowahonga pesa ili wachague viongozi wajinga wajinga. Watu wengi wa maana watajitoa kushabikia timu hii kwa...
2 Reactions
11 Replies
525 Views
Habarini wanajamvini, nimechanganyikiwa na kutoelewa ni utaratibu Gani umetumika katika kupangwa mechi ya Ngao ya jamii. Nasikia kuwa mechi ya Ngao ya jamii itakuwa ni yanga dhidi ya Simba na sio...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Kylian Mbappé’s nose. 😫🇫🇷 Get well soon! --- Kylian Mbappe was forced off during France's opening Euro 2024 match against Austria after suffering a nasty injury to his nose while attempting a...
1 Reactions
6 Replies
619 Views
Bongo tuna wachambuzi wengi na wengine maarufu sana. Wachambuzi wengi maarufu ni wa kawaida sana wanasimulia hadithi badala ya kuchambua. Wanaeleza matukio ambayo hata mimi mtu wa kawaida kwenye...
18 Reactions
33 Replies
4K Views
i have been looking for an app in app store. with all the league stats, news and players, including clips any leads? au hatuna wasomi? maana TFF NA KALIA NI vichwa maji this i know...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Azam FC tunayo furaha kuutangazia umma kuwa tumeingia makubaliano ya mwaka mmoja ya ushirikiano na klabu ya soka la wanawake ya Fountain Gate Princess. Makubaliano hayo ni katika kukidhi kanuni...
1 Reactions
10 Replies
473 Views
Hapo vip! Ukubwa wa club yeyote Dunia sio kuwa ya kwanza kuanzisha bali ni ukubwa na ubora wake katika bara lake na nchi yake...tukiangalia kigezo cha uwazishwaji hata huku mtaani kuna timu...
1 Reactions
29 Replies
714 Views
Mo ni mbinafsi, Changu ni changu chako ni changu Pesa yake ni yake, ila pesa inayopatikana SSC kama fungu la CAF au NBCPL pia ni yake, Hii ni Falsafa yake, Akisimama ktk camera husema simba ni...
8 Reactions
20 Replies
806 Views
  • Poll Poll
Naomba maoni yenu tena! EURO inaanza leo na mechi Germany vs. Scotland. Mnafikiri ni nchi gani itashinda EURO 2024?
3 Reactions
9 Replies
546 Views
Kwakweli huu utaratibu wa play off za Ligi kuu unawaumiza sana vilabu vya Ligi daraja la kwanza, Biashara utd wamepambana sana play off ya kwanza dhidi ya Mbeya Kwanza wakafanikiwa kuvuka, Kwa...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Wadau wa Soka Napenda kuwataarifu kuwa nimekabidhiwa jukumu zito la kuwa Msemaji wa Klabu ya Singida Black Stars yenye maono makubwa na kuongoza Idara nyeti ya Habari na Mawasiliano. Nami nipo...
20 Reactions
68 Replies
2K Views
Back
Top Bottom