Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baadhi yetu tumepiga sana kelele kuonyesha kuwa tatizo kubwa la Simba ni ukosefu wa mfumo thabiti wa uongozi unaowezesha timu kuendeshwa kwa ukaribu na umakini. Simba haina management imara, bali...
10 Reactions
21 Replies
1K Views
Mangungu ni Kama alishtukia kamchezo ka mhindi wa Bombay alikotaka kukafanya ili na yeye akae pembeni afanikishe jambo lake lakini mtoto wa mjini akausoma mchezo kwa umakini na kuupangua! Bwana...
18 Reactions
32 Replies
1K Views
Hope nyote wazima, wa afya tele! Kuna wachambuzi hapa bongo huwa siwaelewi linapokuja suala la mpira, je! Ni mimi tu! Hapo nyuma kulikua na mechi za ku Qualify kombe la dunia, na mashindano...
7 Reactions
48 Replies
1K Views
Mabao ya Jamal Musiala dakika ya 22 na Ilkay Gundogan dakika ya 67 yametosha kuipa alama 3 Ujerumani mbele ya Hungary kwa mabao 2-0. Ujerumani imefikisha alama 6 baada ya michezo miwili na...
1 Reactions
2 Replies
275 Views
Biashara United Mara wamefika mkoani Tabora na kupokelewa kwa kipigo asubuhi hii wakati wanaenda kwenye pre match Meeting. Technical director Omary Madenge ameshambuliwa sana yupo kwenye hali...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Naheshimu Kipaji chako na Uwezo wako ila bado hujafikia hiyo Thamani na ukisema Milioni 400 naweza Kukuelewa. Ukitaka kusikiliza zaidi nendeni Crownfmtz mkamsikilize.
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Sc Murtaza Mangungu anasema Uwanja ambao Wananchi Young Africans mnatamba nao sio mali yenu bali ni mali ya Mnyama Simba SC! "Wenzetu Wamepewa Uwanja ni haki yao kama...
1 Reactions
3 Replies
546 Views
ligi kuu ina pesa nyingi sana. na possible next season pesa zitaongezeka. iko hivi, 1. Ligi kuu now ina recruitment organisations for players trials in foreign countries. 2. Kuna azam money...
3 Reactions
15 Replies
614 Views
1. GHANA Kuna wachezaji wana vipaji vikubwa lakini ni wapenda starehe na wavivu mno. Ukimsajili Mghana tegemea utendaji kazi wa hovyo, kusumbuka makocha na Kambi ya team. Ni wazuri kwenye kuingia...
16 Reactions
28 Replies
3K Views
VIWANGO VYA UBORA VYA FIFA JUNE 20, 2024 AFRIKA DUNIANI [emoji116] [emoji116] 1 [emoji1173] Morocco (12) 2 [emoji1211] Sénégal (18) 3 [emoji1093] Egypt (36) 4 [emoji1081] Ivory Coast (37) 5...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Luis Jose Miquisone kuondolewa kwenye kikosi cha Simba SC ni pigo jingeni kwa viongozi wa Simba sc. Ushauri kwa Yanga Sc na Azam fc mchukueni Luis Miq atawasaidia sana kwenye Club bingwa Afrika...
5 Reactions
66 Replies
5K Views
Cloatus Chota Chama Ni kweli bado hakijaeleweka. Kiungo mshambuliaji Mzambia, Clatous Chama bado hajamwaga saini ya kuendelea kubali Simba baada ya mabosi wa Msimbazi kushindwa kumtekelezea...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia sana washambuliaji wengi wanaosajiliwa simba wakitokea nje ya Tanzania kushindwa kuonyesha makali wakati huko walikotoka walikuwa moto. Mfano ni huyu mzungu aitwae Dejan...
6 Reactions
24 Replies
832 Views
Endeleeni tu kuyatumia Mafanikio yenu ya Tigo Pesa mliyoyapata ili kuficha Umasikini mkubwa na njaa iliyoko Kwenu.
4 Reactions
11 Replies
994 Views
Yaani huyo Mchezaji hata kwa Timu yangu niiyokuwa nikiifundisha Kawe ( wakati bado Sijahama ) asingeweza kupata Namba kwani nilikuwa na Kijana Mmoja matata niliyempavchika Jina la Mayele sasa...
7 Reactions
12 Replies
953 Views
Kama tulithubutu Kumsajili Babu Ntibazokiza mwenye Miaka 51 sasa kwanini tushindwe kwa Mukoko mwenye 19 sasa?
4 Reactions
16 Replies
726 Views
🇧🇷 Ronaldinho: “That’s it guys, I will not watch any Brazil game at the Copa América nor celebrate any victory”. “I’ve had enough. It’s a sad moment for those who love Brazilian football. It’s...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Akiongea Jana kwenye hafla ya uzinduzi wa kitabu cha historia ya klabu ya Yanga, Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa michezo, alisema kitendo cha viongozi na wanachama wa Simba kukubali kuendesha...
15 Reactions
106 Replies
3K Views
1. Kuna ndugu alifaliki SA back then, yani tunajua Mefariki kwa kutumiwa picha na anatafutwa ajulikani for a month and so, gari lake likekutwa limepata ajali. mwili aupo, damu tu. Tulihustle sana...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Nikiwa Kama mwanachama kindaki ndaki wa Yanga Sc ninayelipa ada ya uanachama kila mwaka ninayohaki ya kujua (kujuzwa) /kuuliza/kuhoji mapato ya timu pale ninapokua sijui. Hili la Mkataba wa...
6 Reactions
92 Replies
8K Views
Back
Top Bottom